Mkuu
cabo , asante sana kwa swali hili, japo linaonekana kama ni swali lakijinga sana kwa sababu inatarajiwa kila Mtanzania ni lazima aijue katiba, the basics, kuwa rais akitokea upande mmoja wa muungano, VP ni lazima atoke upande mwingine. Samia ni rais kutoka Zanzibar hawezi kumteua Dr Mwinyi kuwa VP.
Ila tulipo ungana, Rais wa Zanzibar ndie VP wa kwanza, halafu PM ndie VP wa pili. Samia akiamua kumrudishia hadhi rais wa Zanzibar kwenye hii setup ya muungano, anaweza. Kwa sasa ndani ya set up ya muungano, rais wa Zanzibar is nothing,ni nobody!. Anaelezwa kuwa atateuliwa na Rais wa JMT kuwa Waziri asiye na Wizara maalum ili tuu aweze kuhudhuria cabinet meetings lakini ndani ya setup ya muungano rais wa Zanzibar is nobody!, na mpaka hapa ninapoandika, katiba ya JMT haitambui GNU, wala wale Makamo wawili wa kule, ila tuu wanatambulika ki protokali kwa heshima tuu. Hivyo sasa maadam Rais wa JMT ni kutoka Zanzibar, huu sasa ndio wakati muafaka kwa hadhi ya Zanzibar ndani ya muungano iwe restored, Katiba ya JMT iitambue katiba ya Zanzibar na ku ya adopt mabadiliko yake. Rais wa Zanzibar awe restored kuwa VP etc etc.
P