Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Kwa vile Mama ni kutoka Zanzibar, hivyo it is presumed hii ni zamu ya Zanzibar, na kwa vile hii ni awamu yake ya kwanza, awamu yake ya pili ni 2025, hii maana yake hakuna mwana CCM anayeruhusiwa kuchukua fomu 2025, ni inatolewa fomu moja tuu!.
Kama hii sauti niliyousikia ni yake YEYE, then 2025 ni awamu ya pili ya zamu ya Zanzibar, hivyo ikitokea Mama akaisikia hii sauti, kuliko kupoteza both urais wa zamu ya Zanzibar na kuipoteza zamu ya Zanzibar, then bora Mama ampe Mzanzibari mwingine kuimalizia zamu ya Zanzibar!, who is Mzanzibari huyo better than Dr. Mwinyi?.

Pia siwezi kukubishia maana kuna wenzetu humu, mna pose kama wenzetu na sisi humu tunawaona kama wenzetu tuu, kumbe sio wenzetu bali ni wale jamaa zetu!.
P
Mimi Mbona ni mwenzenu TU!!?

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya"!
 
Kwa nini uwaze watu wale wale? Sura na majina yale yale!! Kwani hakuna mtanzania mwingine anayefaa? Lazima tusikie ubini wa akina Mwinyi, karume, lowassa, kawawa, nape, makamba, etc...?

Sema mmefunzwa na kulelewa kulinda system/state.
 
Hii sauti itakunyima ubunge EAC usipokuwa makini
Mkuu Proved, kugombea kwangu EALA ni baada ya kujitathmini kuwa ninaweza kusaidia, hivyo ikitokea nikateuliwa, niteuliwe kwa ability na capabilities na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo ikitokea mtu mzuri, una uwezo wa kusaidia nchi yako, lakini ukakatwa kwasababu ya kuusema ukweli, then be it!.

Japo kuna vitu vinaonekana kama sio vitu vizuri, lakini ndio vitu vinavyosaidia. Angalia hoja zilizoshushwa kwenye nyuzi hizi, laiti waliotajwa wangesikia and act accordingly, labda yaliyowakuta, yasingewakuta "Ombeni Mtapewa", Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kauli Huumba? Angalia Kauli Hizi Ziliumba Nini!. Laiti Zingesikizwa...!.
P
 
Nami nimesikia sauti ikiniambia Mayalla atakuwa rais wa Burundi 2025!
Joke. Lakini Watanzania tuwe na subira. Kazi ya urais si rahisi hivyo uonavyo. Na wala msimfananishe Samia na Magufuli. Kila mtu na style yake.
Ninachokiona, ingawaje rasi Samia ana makosa kadhaa ya uongozi, kubwa kuto 'regn' juu ya viongozi wachache wanaomharibia.....lakini ni rais mzuri sana anayejua 'siasa ya uchumi'. Kwa vile bado namchukulia mgeni katika cheo hiki tena bila maandalizi, natumai atajirekebisha. Akifanya vitu viwili vitatu tu, serikali yake itakuwa ya mafanikio sana. Sio kama Magu ambaye sera aliyokuwa akienda nayo hatimaye ingeiangamiza kabisa uchumi na mshikamano wa nchi hii, ingawaje pia alikuwa na mazuri fulani- kutouonea haya ufisadi, msisitizo juu ya nidhamu na kuleta haiba ya dola.
 
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.

Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti

Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be Dr. Hussein Mwinyi kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.

Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu yake ya pili ya Rais Samia, kwa awamu moja tuu.

Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakaye kuja kugombea urais wa JMT kwa 2030.

Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then unamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe Mwinyi ama ...

Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia from within ni sauti kutoka kwa Mungu au ni maono, sauti nyingine ni sauti za shetani tuu na sio sauti za Mungu, kama zilivyo ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme). Mfano ni tangu August 14, 2014 nilielezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu lakini sababu za kwanini ni Magufuli, nilielezwa ila sikuzisema. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, hivyo hiyo 2014 wakati nikisema hayo, unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye!.

Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Mama Samia mwenyewe hajui, kwasababu ni Rais Samia ndiye aliyependekeza 2025 twende na mgombea mwanamke, unaweza kuta 2025 ni Mama Samia anajipanga kuendelea Kwa awamu ya pili, huku Dr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar, wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kujiandaa kisaikolojia.

Hata ile siku niliyoisikia sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... Spika Job Ndugai hakujua hatakuwa Spika, wala Dr. Tulia hakujua kuwa yeye ndiye spika ajae.

Hata ile siku namzungumzia huyu DC, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam DC mwenyewe alikuwa hajui, na watu humu wakanidhania mimi ni mtu wa kule naniliu na kudhani nimeleta za jikoni.

Hili sasa ni langu, hili la Mwinyi kuja huku, usikute ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hata wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!.

Hitimisho
Kwa vile mimi ni Msukuma, naweza kutuhumiwa ni sehemu ya Sukuma Gang wasiotaka Samia aendelee 2025 to 2030. Naomba kwanza niwathibitishie I don't believe hiki kitu kinachoitwa ,"The Sukuma Gang" kina exist in reality!, hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in mind za watu waliofilisika kimawazo!.

Mimi ni Msukuma na sio Sukuma Gang, ila pia ni Mimi ndio nilimtabiria Samia urais wa JMT toka 2017, Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
nikamshauri Blaza asigombee 2020 ampishe Samia, but no one takes me seriously, kama sauti hii!, you never know, kama JPM angeusikiliza ushauri wa bandiko hili Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilishauri

probably ange...

Mwaka 2020 nikasema humu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
nilisema

Hivyo it's up to Mama, to decide, kuutafuta ukweli wa sauti hizi, au kuzipuuzia.

Kuna kitu pia nimeambiwa ni kwa nini Mama amuombe Mwinyi, ila sio lazima kusema kila kitu. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Hivyo mpaka umelisikia hili nimelisema, ujue lina maslahi kwa Taifa.

Kitu muhimu ni nimesikia sauti, nimesema nilichosikia, nimetimiza wajibu wangu.

Paskali
(Mzee wa The Voices Within)

Mchango very objective

Mkuu idawa , kwanza asante sana kwa mchango wako na uwezo wako wa kunisoma in between the lines, ila naomba nikuhakikishie, it's not my making, it's the voices from within!.

Sikukisema vyote nilivyo ambiwa, na hiyo sauti labda nikivisema vyote itasaidia kwa kuvi mitigate kabla ya 2025 ili Mama aendelee.

Kinachonifanya nisiseme kila kitu ni kwasababu kauli nyingine huumba!. Nisije nikasema humu, halafu yakatokea ya kutokea tukaaanza kunyoosheana vidole!.

Hata mimi kujiunga JF nikauli za wana JF ile 2008 nikiwa naendesha bike Morogoro Rd mitaa ya Manzese, kuna mwana JF akanianzishia uzi humu kuhusu uendeshaji wangu wa bike.

Kilichofuata hata wiki haikupita... mimi chali!. Uzi ule wa kwanza ukafutwa na kupandishwa uzi huu
Pascal Mayalla apata ajali..... na ndipo nami nikatua rasmi humu JF na baada ya mwaka nikatoa shukrani
Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
from then mimi ni mtu makini sana
naamini kwenye nguvu ya kauli Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!.

Mimi ni muumini kuwa humu jf tuna manabii wetu wa ki jf jf TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!

Pia humu JF tuna wanga wengi tuu Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

P
Mchango mwingine very objective

Japo JF mwanzo was meant to be the home of great thinkers, great mind who discuss ideas, those who can read and think, but as times go by, simple minds who discuss people wakajazana humu, ordinary mind who discuss events nao wakajazana humu, hivyo sasa jf ni home to everyone, simple minds, ordinary minds na great minds, ukipandisha bandiko linalohitaji great mind to digest, only the great mind ndio wataelewa unazungumzia nini, simple minds na ordinary minds wataishia chaka.

Kwa kukusaidia wewe and the like minded people wa level yako, bandiko hili Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Maana yake
  1. Marais wa nchi hupangwa na YEYE.
  2. JPM yeye alipanga kumalizia awamu yake ya pili lakini YEYE akampangia kazi nyingine na badala yake ndiye akatuletea Samia.
  3. Hivyo Rais Samia hakupanga yeye kuwa rais wa JMT bali alipangiwa na YEYE.
  4. Urais haupangi wewe, kazi yako ni just to wish, Ila ili uwe wewe na wish yako itimie, ni lazima iwe imepangwa na YEYE.
  5. Rais Samia alipoulizwa na Kikeke kama atagombea 2025 alijibu vizuri kuwa mambo ya 2025 tumwachie mpangaji Mungu.
  6. Kwa vile Tanzania hatukuwahi kuchagua rais Mwanamke, Kwa Samia imetokea tuu kwa kudra za Mungu, then lets wish 2025 tusimame na mgombea Mwanamke.
  7. Nikasema mwanamke huyo, sio lazima awe ni Rais Samia, bali ni yule aliyepangiwa na YEYE.
  8. Hivyo kama 2025, ni Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, then who are we to say no?.
  9. Hivyo kama yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye.
  10. soma tena
Hivyo wakati tukisubiri 2025 huku tukienda na Samia, hivi visauti sauti sasa ndio vinaanza. Kwa vile no one is certainly sure of tomorrow, na hakuna uthibitisho wa hizi sauti , voices from within kama ni sauti ya YEYE au yeye, ukisikia sauti inakuambia kitu, kama kitu hicho kinasemeka, kiseme, ili kijulikane, kama ni kizuri kipepewe, kama ni sio kizuri kitafutiwe jinsi.

Natumaini nimeeleweka.
P.
Kaka Paskal
Hii
 
Wanabodi

Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakaye kuja kugombea urais wa JMT kwa 2030.

Hivyo wakati tukisubiri 2025 huku tukienda na Samia, hivi visauti sauti sasa ndio vinaanza. Kwa vile no one is certainly sure of tomorrow, na hakuna uthibitisho wa hizi sauti , voices from within kama ni sauti ya YEYE au yeye, ukisikia sauti inakuambia kitu, kama kitu hicho kinasemeka, kiseme, ili kijulikane, kama ni kizuri kipepewe, kama ni sio kizuri kitafutiwe jinsi.

Natumaini nimeeleweka.
P.
Leo nimemsikia Spika Dr. Tulia kwenye swali la Mhe. Luhaga Mzima, Tulia akiendelea hivi kutanguliza mbele maslahi ya Taifa, usiku huyu ndiye yule mwanamke niliielezwa kwenye ile sauti kuwa 2030 ni mwanamke!.

Niliwahi kumzungumza Dr Tulia hapa Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana! nilisema
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilisema Spika aliyetangulia hakuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, hivyo ikitegemewa Naibu wake Dr. Tulia Akson pia atakuwa ni Bora Spika kwa kufuatia ile kanuni ya uwajibikaji wa pamoja ( a collective responsibilities), kwa makosa yote ya Bunge la JYN na naibu Spika Tulia, hivyo kati ya watu 70 waliogombea uspika kupitia CCM, miongoni mwao kuna watu mule wangetupatia Spika Bora kuliko Dr. Tulia, ila kwa vile aliyepitishwa na CCM ni Dr. Tulia, hivyo sasa Dr. Tulia Akson ndie Spika wetu.

Hii maana yake, ile sauti niliyoisikia hapa, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... ilikuwa ni sauti ya Mungu
Dr. Tulia Akson ndiye mpango wa Mungu kuwa Spika mpya wa Bunge la JMT.
. Lakini kama ilivyo kwa JPM na Samia, JPM was JPM na Samia ame prove She is Samia, hivyo lets give her a benefit of doubt kuwa Tulia akitulia, kama lilivyo jina lake, ana fursa na anaweza kabisa kuwa Spika Bora.

Pili tuahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Msikilizeni hapa Spika wetu Dr. Tulia

I was dam right about this lady!.
Nilisema Dr. Tulia akitulia she can make the best Spika!. That video clip is the proof, she is the best!.

Tena nadhani huyu mwanamke aliyezungumzwa hapa for 2030, could be Dr. Tulia!. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Hongera sana Spika Dr. Tulia, umeonyesha uwezo to be the best,
God bless you.
God bless Tanzania.

P
 
Leo nimemsikia Spika Dr. Tulia kwenye swali la Mhe. Luhaga Mzima, Tulia akiendelea hivi kutanguliza mbele maslahi ya Taifa, usiku huyu ndiye yule mwanamke niliielezwa kwenye ile sauti kuwa 2030 ni mwanamke!.

Niliwahi kumzungumza Dr Tulia hapa Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana! nilisema

Msikilizeni hapa Spika wetu Dr. Tulia

I was dam right about this lady!.
Nilisema Dr. Tulia akitulia she can make the best Spika!. That video clip is the proof, she is the best!.

Tena nadhani huyu mwanamke aliyezungumzwa hapa for 2030, could be Dr. Tulia!. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Hongera sana Spika Dr. Tulia, umeonyesha uwezo to be the best,
God bless you.
God bless Tanzania.

P
Uzi wako umekunyima ubunge wa Afrika mashariki.
Huwezi kumshusha rais aliyeko madarakani kuwa hafai 2025 tena wa ccm na ukapewa nafasi yoyote...sahau[emoji23]
 
Uzi wako umekunyima ubunge wa Afrika mashariki.
Mkuu Amazon2 , kwanza sio kweli uzingizini huu ndio umenyima ubunge wa EALA!. Kule nimezidiwa sifa kama nilivyo eleza hapa EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!
Huwezi kumshusha rais aliyeko madarakani kuwa hafai 2025 tena wa ccm na ukapewa nafasi yoyote...sahau[emoji23]
Kwanza sijamshusha popote na wala sijasema popote kuwa hafai 2025!. Nilichosema ni kuisikia tuu sauti kuwa kwa vile tumepanga 2025 twende na mwanamke, Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! hii sauti imesema tuendelee kwanza na mwanamume halafu mwanamke aje 2030!.

Mimi ni miongoni wa watu wanaomkubali sana Samia na mimi ni miongoni mwa tuliomuumbia rais Samia urais wa Tanzania kwa kauli umba zetu "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba?. Shuhudia..
P
 
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.

Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti

Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be a man kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.

Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025 na afuatiwe na mwanaume atakaye kaa kwa kipindi kimoja hadi 2030 sasa ndipo tuje na mgombea mwanamke!.

Sauti hiyo maana yake inamaanisha ni Rais Samia yeye mwenyewe willingly anatakiwa kumuandaa mtu wa kumkabidhi miaka 5 yake iliyobakia ya 2025 - 2030.

Kwa mujibu wa utaratibu wa CCM, hakuna mwana CCM yeyote anayeruhusiwa kùomba fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kwa pande zote mbili za muungano. Mgombea urais wa CCM kwa 2025 kwa huku bara ni Samia na kwa Zanzibar ni Dr. Mwinyi, kwasababu wote wiwili hii ni awamu yao ya kwanza!. Hivyo utaratibu wa CCM ni ule wa zengwe la kutoa fomu moja tuu!.

Kama sauti hii ni sauti ya ukweli ya kwake YEYE, hii inamaana hii sauti ama Samia mwenyewe ameisha ambiwa, ama YEYE ameanza kutuambia kwanza sisi wengine wa kutangazia umma ili kuanza kuwaandaa Watanzania kisaikolojia kuhusu 2025.

YEYE huwa ana mtindo kwa baadhi ya mambo, kuwaambia watu wengine kwanza kabla hajawaambia wahusika wenyewe, mfano mzuri ni huu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli wakati huyu aliyeezwa haya ilikuwa ni 2014, by that time hata JPM alikuwa bado hajaambiwa kuwa ni yeye 2015!. Hivyo kuna uwezekano hata Samia bado hajaambiwa hili!.

Hivyo namshauri Mama afanye tuu maandalizi ya kuisubiria hiyo sauti kwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu yake ya pili ya Rais Samia, kwa yeye kukubali kuwa rais wa awamu moja tuu.

Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakaye kuja kugombea urais wa JMT kwa 2030.

Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then unamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe mgombea mwanaume, ama ...

Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia kwenye the voices form within ni sauti kutoka kwake YEYE au ni maono, sauti nyingine ni sauti za kina yeye tuu na sio ssauti yake YEYE!.

Hata yale maoni ya kwenye ndoto, sio kila ndoto ni maono kutoka kwa Mungu, kuna ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe ni sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo fulani la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme). Mfano ni tangu ile August 14, 2014 nilielezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu za kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu kwa rais wetu ajae ni Magufuli lakini hizo sababu za kwanini ni Magufuli, japo nilielezwa lakini mimi sikuzisema humu!. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, hivyo hiyo 2014 wakati nikisema hayo, unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye!.

Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Mama Samia mwenyewe bado hajui kuwa 2025 sii yeye kwasababu yeye bado hajaelezwa kuwa sio yeye, na ndio sababu ni Rais Samia ndiye aliyependekeza 2025 twende na mgombea mwanamke, unaweza kuta 2025 ni Mama Samia mwenyewe baada ya kuingia by default awamu hii ya kwanza, sasa anajipanga kuendelea awamu ya pili, properly kwa ule mserereko wa CCM , huku Dr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar kwa mserereko wa CCM na wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kuwaandaa watu kisaikolojia!.

Hata ile siku niliyoisikia sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... Spika Job Ndugai hakujua kuwa yeye hatakuwa Spika, wala Dr. Tulia hakujua kuwa yeye ndiye atakuja kuwa spika ajae!.

Hata ile siku namzungumzia huyu DC, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam DC mwenyewe alikuwa hajui, na watu humu wakanidhania mimi ni mtu wa kule naniliu na kudhani nimeleta za jikoni!.

Hili la Mwinyi kuja huku, sio la sauti, hili ni langu tuu, maana usikute pia ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii maana
wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi ninapoandika hapa, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!. Hii nibkufuatia dhulma kubwa iliyokuwa ikifanyika Zanzibar kwa miaka na miaka, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda lakini sasa kwavile Samia ni mpenda haki, msema haki na mtenda haki, for the first time in Zanzibar tangu baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, 1964, uchaguzi wa 2025 unaweza kuwatendea haki!.

Hitimisho
Kwa vile mimi ni Msukuma, naweza kutuhumiwa ni sehemu ya Sukuma Gang wasiotaka Samia aendelee 2025 to 2030. Naomba kwanza niwathibitishie I don't believe hiki kitu kinachoitwa ,"The Sukuma Gang" kina exist in reality!, hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in mind za watu waliofilisika kimawazo!.

Mimi ni Msukuma na sio Sukuma Gang, ila pia ni Mimi ndio nilimtabiria Samia urais wa JMT toka 2017, Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
nikamshauri Blaza asigombee 2020 ampishe Samia, but no one takes me seriously, kama sauti hii!, you never know, kama JPM angeusikiliza ushauri wa bandiko hili Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilishauri

probably ange...

Mwaka 2020 nikasema humu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
nilisema

Hivyo it's up to Mama, to decide, kuutafuta ukweli wa sauti hizi, au kuzipuuzia na kuendelea na mipango yake ya 2025.

Kuna kitu pia nimeambiwa ni kwa nini Mama amuombe Mwinyi, ila sio lazima kusema kila kitu. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Hivyo mpaka umelisikia hili nimelisema, ujue lina maslahi kwa Taifa.

Kitu muhimu ni nimesikia sauti, nimesema nilichosikia, mimi nimetimiza wajibu wangu!.

Mungu Mbariki Rais wetu Samia aisikie Sauti YAKO!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
(Mzee wa Sauti, "The Voices From Within)

Baadhi ya Mchango very objective

Mkuu idawa , kwanza asante sana kwa mchango wako na uwezo wako wa kunisoma in between the lines, ila naomba nikuhakikishie, it's not my making, it's the voices from within!.

Sikukisema vyote nilivyo ambiwa, na hiyo sauti labda nikivisema vyote itasaidia kwa kuvi mitigate kabla ya 2025 ili Mama aendelee.

Kinachonifanya nisiseme kila kitu ni kwasababu kauli nyingine huumba!. Nisije nikasema humu, halafu yakatokea ya kutokea tukaaanza kunyoosheana vidole!.

Hata mimi kujiunga JF nikauli za wana JF ile 2008 nikiwa naendesha bike Morogoro Rd mitaa ya Manzese, kuna mwana JF akanianzishia uzi humu kuhusu uendeshaji wangu wa bike.

Kilichofuata hata wiki haikupita... mimi chali!. Uzi ule wa kwanza ukafutwa na kupandishwa uzi huu
Pascal Mayalla apata ajali..... na ndipo nami nikatua rasmi humu JF na baada ya mwaka nikatoa shukrani
Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
from then mimi ni mtu makini sana
naamini kwenye nguvu ya kauli Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!.

Mimi ni muumini kuwa humu jf tuna manabii wetu wa ki jf jf TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!

Pia humu JF tuna wanga wengi tuu Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

P
Mchango mwingine very objective

Japo JF mwanzo was meant to be the home of great thinkers, great mind who discuss ideas, those who can read and think, but as times go by, simple minds who discuss people wakajazana humu, ordinary mind who discuss events nao wakajazana humu, hivyo sasa jf ni home to everyone, simple minds, ordinary minds na great minds, ukipandisha bandiko linalohitaji great mind to digest, only the great mind ndio wataelewa unazungumzia nini, simple minds na ordinary minds wataishia chaka.

Kwa kukusaidia wewe and the like minded people wa level yako, bandiko hili Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Maana yake
  1. Marais wa nchi hupangwa na YEYE.
  2. JPM yeye alipanga kumalizia awamu yake ya pili lakini YEYE akampangia kazi nyingine na badala yake ndiye akatuletea Samia.
  3. Hivyo Rais Samia hakupanga yeye kuwa rais wa JMT bali alipangiwa na YEYE.
  4. Urais haupangi wewe, kazi yako ni just to wish, Ila ili uwe wewe na wish yako itimie, ni lazima iwe imepangwa na YEYE.
  5. Rais Samia alipoulizwa na Kikeke kama atagombea 2025 alijibu vizuri kuwa mambo ya 2025 tumwachie mpangaji Mungu.
  6. Kwa vile Tanzania hatukuwahi kuchagua rais Mwanamke, Kwa Samia imetokea tuu kwa kudra za Mungu, then lets wish 2025 tusimame na mgombea Mwanamke.
  7. Nikasema mwanamke huyo, sio lazima awe ni Rais Samia, bali ni yule aliyepangiwa na YEYE.
  8. Hivyo kama 2025, ni Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, then who are we to say no?.
  9. Hivyo kama yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye.
  10. soma tena
Hivyo wakati tukisubiri 2025 huku tukienda na Samia, hivi visauti sauti sasa ndio vinaanza. Kwa vile no one is certainly sure of tomorrow, na hakuna uthibitisho wa hizi sauti , voices from within kama ni sauti ya YEYE au yeye, ukisikia sauti inakuambia kitu, kama kitu hicho kinasemeka, kiseme, ili kijulikane, kama ni kizuri kipepewe, kama ni sio kizuri kitafutiwe jinsi.

Natumaini nimeeleweka.
P.
Juzi Ansbert Ngurumo naye ameskia sauti ikimsemesha.....

Nchi ngumu hii- Ulimwengu one said.
 
Back
Top Bottom