PostGE2025 Voices from Within: Mauaji ya wananchi Dar, tusiwalaumu Polisi. Je Amri ya kuua Ilitoka kwa muuaji huyu?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Je inawezekana ushauri kama huo ndio aliutoa kwa Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar es Salaam?,
Ndio huyu huyu au sio huyu?
G25CsoyXsAAQoAY.jpeg
 
A Way Forward
  1. Majaji walikuwa wanateuliwa na rais kwasababu hatukuwa na wanasheria wa kutosha, lakini sasa Tanzania, tuna wanasheria wengi wa kutosha, hivyo nafasi zote za majaji hadi Jaji Mkuu zitangazwe, wanasheria wenye sifa waombe, watakao kidhi vingezo, ndipo rais apelekewe majina kuteua.
  2. Ofisi ya DPP ipunguziwe mamlaka ya kuwa ndicho chombo pekee cha kuendesha mashitaka ya jinai, Tanzania tuanzishe Private Investigations Bureaus ili inapotokea matukio ya kihalifu kama kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, shambulio la Lissu, kupoea kwa Soka, Mdude, na kutekwa kwa Humphrey Polepole, tunaona serikali inavyokumbwa na kigugumizi kufanya uchaguzi, Watanzania wawe huru kuwatumia private investigators kuchunguza na kumpa DPP kufungua kesi.
  3. Tuanzishe Private Prosecution Bureaus, na kuifuta ile sheria ya kuomba kibali kwa DPP kuishitaki serikali, ili serikali yetu ikifanya madudu kama mauaji haya yaliyotokea, private investigators wachunguze na private prosecutors waishitaki serikali mahakamani by then majaji sio wa uteuzi wa hisani ni competent walioomba kazi.
  4. Ikithibitika kuna watu sio waandamanaji, wameuliwa kwa makosa, serikali inashitakiwa mahakamani na kulazimishwa kulipa fidia
  5. Kwa vile haya maandamano ya kupinga uchaguzi mkuu sio chanzo bali ni matokeo tuu, damu zisizo na hatia, zitafidiwa na karma, kupitia private investigations tunaweza kuchunguza kukibaini chanzo, na private prosecution tukawashitaki mahakamani hao wasababishi na kulazimishwa kulipa fidia kwa uharibifu wote wa mali uliotokana na vurugu zilizosababishwa na maandamano hayo.
..
Nilisikia akisema ushauri km huu ameupokea ila mapendekezo km haya wameyakataa... alitamka kwa mdomo wake mwenyewe sijasema mimi
 
Kama namuona hapo fiasadi anavyojitutumua kuduha na tumbo łake lililoja hela za walipa kodi, “winomr, uyangansula’.

Likewise tusitafute scapegoats kwa walio chini, mauaji yamefanyika karibu kila mkoa, kwa execution style ya aina moja.

Muagizaji hawezi kuwa mkuu mkoa.

PS: Teuzi za Judges kwa nchi zinazojitambua ni meritocracy. Wanasheria wote kutoka ofisi ya DPP au private; ambao wana records za kushinda kesi nyingi ndio uangaliwa kwanza.
 
Ni CinC km alivyosema pale juu huyo katumwa tu muulize aliemuagiza
Muagizaji lazima ana human capital to execute the mission.

Office ya mkuu wa mkoa aina trained shooters, wala snipers; kiongozi swala la kutoa uhai kinyama vile lina taka matayarisho ya kiakili kwa wahusika.

Ni wakuu wa mikoa wachache sana ambao ni askari na hata hao hawana access na army infantry or police; muhusika lazima ni sehemu ya jeshi au senior police officer.

Hakuna mkuu wa mkoa yeyote Tanzania mwenye access ya kufanya such an operation, hata kwa wale ambao wanatokea kwenye vyombo vya ulinzi.

Mtu pekee mwenye uwezo wa kufanya hiyo operation ni senior army or police officer au hata PSU if it’s an independent department.

Lakini hakuna mkuu wa mkoa mwenye access na infantry wala snipers.
 
Kwa hio wewe unasema ni nani alietoa amri ya kuua watu CDF au Camiliuc Wambura 'Mtani' au CinC? Chagua mmoja
 
Mastermind wa genge la wahuni, nani “hiko ni kitendawili’

JK ain’t one kiherehere tu cha kuonekana mtu muhimu. Vinginevyo Samia ni mateka wa wahuni, kwa sasa na wanatafuta namna ya kum-dispose washike nchi kikamilifu.

Watiifu wa vyombo vya usalama, wamejifunza the hard way; madhara ya madaraka makubwa kwenye katiba yaliyompa raisi. Hawakudhani hiko siku nchi atapewa mtu kiazi na watu wenye tamaa watayatumia vibaya.

Uzuri wenyewe sehemu kubwa ya wahuni sio clever, wametoa somo tu kwa vyombo vya usalama. Uongozi wao auwezi dumu sio watu wenye akili, wamewapa suprise tu werevu.
 
Maelfu ya watu wamekufa kwa kupigwa risasi na vyombo vya usalama lakini bado pascal unataka kutuvuruga na story zako, kila kitu kiko documented, picha and videos zipo na mashahidi wapo, na hata baadhi ya wauaji wanajulikana, ila wanachofanya sasa kama kawaida yao ni kuzua kesi za uwongo kwa viongozi wa upinzani na vijana wanaowaokota mtaani na kuwasingizia kesi, Pascal acha kutetea na kuchanganya jamii kwa kilichotokea, history itakuhukumu vibaya
 
Wanabodi

Angalizo
Kwa vile mimi mwenzenu niliisha wahi kuuliza kitu kwa kuandika, kikaniletea matatizo nikaitwa mpaka Bungeni Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwanini nimesema vile, nikajibu sijasema bali ni nimeuliza na alama ya kuuliza alikuwepo!, walipoangalia tena nilicho Annika ndipo wakaiona hiyo alama ya kuuliza, kesi ikaishia hapo.

Bandiko hili pia ni la swali Voices from Within: Mauaji ya Wananchi Dar, Tusiwalaumu Polisi, Ni Walikuwa Wanatimiza Wajibu Wao!, Je Amri ya Kuua Ilitoka kwa Muuaji Huyu?. Hawa sijamsema mtu yeyote kuwa ndie muuaji wetu wa watu wa jiji la Darisalama, lakini kwasababu mimi namjua huyo muuaji, aliwahi kutqmba kuua mtu kwa kumpiga risasi mbili za kichwa na kufunua kabisa kichwa, kisha akajipongeza kwa kunywa bia mbili huku akiiangalia hiyo maiti, na nikamsikia mwenyewe kwa masikio yangu akimuamrisha RPC fulani aue watu, kwenye uzi huu sijasema muuaji ni yeye, bali nimeuliza jee muuaji wetu wa watu wa Darisalama ni huyu??? Hapa naomba alama ya kuuliza niibold kabisa, nisije itwa polisi nikatakiwa kuthitisha kuwa nimesema fulani ni muuaji!, hapa ni nimeuliza tuu?.

Kitu Chenye Kuu Duniani ni Uhai
Kwenye nchi yoyote duniani, kitu cha kwanza chenye thamani kubwa kuliko kitu chochote ni uhai wa mwananchi.

Mwananchi ndiye mwenye nchi, ndiye mwenye katiba, ndiye mwenye mamlaka kuu ya nchi ambayo ni katiba, na katiba hiyo inapata mamlaka kutoka kwa mwananchi.

Rais wa nchi na mihimili yake yote mitatu na serikali yake yote ni waajiriwa wa mwananchi ambaye ndie mwenye mali.

Rais wa nchi anaajiriwa na mwananchi kupitia kura yake na na kumlipa mshahara wake na serikali yake yote kupitia kodi yake.

Hivyo the real big boss wa nchi ni mwananchi, rais wa nchi na serikali yake yote ni watumishi wa mwananchi.

Uhai ndio haki kuu ya kwanza ya binadamu, tena kwa nchi yetu uhai ni unahesabiwa tangu ile ya kutungwa mimba ndio maana abortion ni kosa la jinai kwa nchi yetu, sisi ni pro life.

Kuna nchi ni pro choice, wao kufanya abortion ni legal kwa hoja kuwa wazaliwe watoto wale tuu wanaotakiwa, ikitokea mimba imetunga katika ile starehe tuu bila kupangwa, rukhsa kwenda kuiflush as if its nothing.

Katiba yetu ina haki ya kuishi, hata hii adhabu ya kifo kwa watu kuhumiwa kifo kwa kunyongwa mpaka are, ni kinyume cha katiba, japo ipo kwenye katiba.

Adhabu ya Kifo
Hii adhabu ya kifo kwa mtu kunyongwa kwa kamba mpaka afe, ni adhabu ya kikoloni ambayo lengo lake ni barbaric ili kuwaogofya wananchi, kwa serikali ya mkoloni maisha ya mtu hayana thamani, Tanzania baada ya kujipatia uhuru wetu tulitakiwa kuachana kabisa na hizi adhabu barbarian tulizo zikuta.

License to Kill
Serikali zote duniani zinatoa kibali cha kuua mtu yoyote ambaye ni wishing kwa usalama wa taifa au wa raia na mali zake, endpoint njia nyingine zote za kumdhibiti zitashindikana.

Mtu pekee mwenye mamlaka ya kuruhusu mtu auliwe ni rais wa JMT kwa kusaini hati inaitwa death warrant.

Watendaji wote wa serikali, wanatekeleza majukumu yao kwa niaba ya rais wa JMT, hivyo wakiua mtu yoyote kwenye utekelezaji wa majukumu yao, anayehesabika ameua ni rais wa JMT kwasababu yeye ndiye pekee mwenye kibali cha kuondoa uhai wa mwananchi kwa mujibu wa sheria.

Jeshi la polisi na wana usalama, wamepewa mamlaka ya kutumia nguvu kutuliza ghasia lakini hawatakiwi kutumia nguvu kupita kiasi. Na ili kuepusha madhara ya kuwaua wasio husika, polisi na usalama huwatumia askari maalum wanaitwa snipers ambao ni ma sharp shooters wa kulenga shabaha ili mlengwa tuu ndiye auliwe.

Katika kutuliza ghasia, kuna mazingira fulani ambapo wanaruhusiwa kuua, na ikitokea watu ambao sio walengwa wameuwawa kwa bahati mbaya katika purukusha, wanatakiwa kufidiwa.

Je ni katika mazingira gani polisi wanaruhusiwa kuua?

Je kuwauwa waandamanaji, polisi wauwaji wale wamekidhi vigezo vya to be linceced to kill?. Kama hawajakidhi, wanashitakika!.

Amri ya Kutotoka Nje Baada ya Saa 12:00.
Hii ni amri kama ya kutangaza hali ya hatari ambayo mtu pekee mwenye mamlaka hii ni rais wa JMT, na amri hii kwa mikoa inatolewa na RC, ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, hivyo japo amri ile ilitolewa na RPC Kanda Maalum, ilitokana na kikao cha dharura cha ulinzi na usalama, IGP ana Juliana na kumjulisha CinC kwasababu wote wanatimiza majukumu yao kwa niaba ya rais wa JMT.

Maamuzi ya Kikao Cha Ulinzi na Usalama
Kwa kawaida majadiliano na maamuzi ya kikao cha Kamati za ulinzi na usalama la mikoa na wilaya huwa ni siri na baada ya hapo kila mjumbe anapeleka taarifa kwa mkuu wake, RPC anapeleka kwa IGP, RSO anapeleka kwa DGIS, yule mjeshi anapeleka kwa CDF na wote lazima wanamjulisha CinC pamoja na maoni yao hivyo rais wa nchi yuko well informed kwa hot line yake ya kila kinachotokea ikifuatiwa na taarifa ya maandishi kwasababu japo tuna egovernment, lakini serikali yetu bado inafanya kazi kwa black and white, yaani kwenye makatatasi, hata ukituma email, inaprintiwa inaandikiwa Pokémon ndio inashighulikiwa.

Hii ina maana yale mauaji yalipangwa, amri halali ilitolewa kwa maandishi.

Hii maana yake uamuzi wa zile patrol za usiku mitaani na ku m shoot mtu yoyote atakaye onekana nje, yalifanywa kwenye kikao kikao halali cha ulinzi na usalama, hivyo nawaomba sana, tusiwalaumu polisi wetu, wao ni wawekezaji tuu, wa kulaumiwa ni aliyetoa amri ya kuua Watanzania, au mwenye uwezo wa kuzuia Watanzania wasiuliwe lakini hakutimiza wajibu wake.

Mauaji ya Mwanza na Shinyanga ya Mwaka 1976.
Mwaka 1976 kulitokea mauaji ya kikatili ya vikongwe mikoa ya Mwanza na Shinyanga wakituhumiwa kwa uchawi kutokana na kuwa na macho mekundu kutokana na moshi wa kuni za kupikia.

Kikafanyika kikao chini ya Rashidi Kawawa akiwa Makamu wa pili wa Rais na Waziri Mkuu, waziri wa usalama, waziri wa mambo ya ndani, IGP, DGIS, RC Mwanza na Shinyanga, RPC na RSO, maamuzi yakapitishwa.

Kukafanyika kamata ya mamiq ya watu wakiwemo waganga wa kienyeji, katika mahojiano na polisi, eneo la Kigoto Mwanza, watuhumiwa wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaac Ng'wana Nkhoboko, walifariki dunia.

Taarifa zilipomfikia Rais Nyerere, kiliwaka, Mwalimu alikasirika sana, akaanza na Kawawa, akamtoa kwenye umakamo wa rais na waziri mkuu, akawa waziri asie na wizara maalum, Sokoine akaingia, akatoa amri nikute mezani kwangu kabla ya saa 10 jioni, barua za kujiuzulu waziri mambo ya ndani, Ali Hassan Mwinyi na Waziri wa usalama Peter Siyovelwa. Piga chini IGP, Samuel Pundugu, DGIS Emelio Mzena, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Peter Kisumo,na wa Shinyanga.

Kisha staafisha kwa manufaa ya umma RPC, OCD. RSO, DSO wa Mwanza na Shinyanga, kisha maofisa wote hao wakashitakiwa kwa kesi ya mauaji Mwanza na Shinyanga.

Hiyo ndivyo awamu ya Nyerere ilithamini maisha ya watu, yaani vifo vinne tuu vya mahabusu mikononi mwa polisi, angalia viliwagharimu watu wangapi?

Idara ya Usalama wa taifa ikavunjwa na kuundwa upya kwa sheria mpya, tukaleta sheria ya magazeti ya 1976.Thread 'TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!' TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Waliofanya Mauaji Haya Wanaweza Kushitakiwa
Kama mauaji ya Mwanza na Shinyanga watu walifutwa kazi, wa kujiuzulu walijiuzulu, waku shitakiwa walishitakiwa, kitendo cha hakuna aliyejiuzulu mpaka sasa, ina maana polisi wetu walitumwa kufanya hicho walichokifanya, tusiwalaumu na kuwaonea bure.

Juzi nilipoona video ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka na wananchi wake wanalia na kusali kwa kifo cha mwananchi wake mmoja na kuwaombea waliokufa, nikajiuliza Mtaka angekuwa ndie RC DSM, angewaruhusu polisi wafanye unyama ule?.

Ndipo nikaisikia ile sauti toka ndani yangu, the voices from within, kuwa aliyetoa amri kwa polisi, piga risasi ua mtu yoyote atakaye onekana nje baada ya saa 12:00 jioni ni mtu fulani!.

Ilipaswa kuwatendea Haki Watanzania, lile tangazo la amri ya kutotembea, lilipaswa liandamane na uamuzi wa kikao kuwa atakayukutwa nje baada ya saa 12: 00 jioni, atauwawa kwa kupigwa risasi.

Baada ya sauti hiyo kunitajia ni fulani, ndio nikakumbuka, niliwahi kuandika kitu humu kumhusu RC fulani kuwa ni muuaji, aliwahi kumiminia kibaka fulani risasi mbili za kichwa at close range hivyo zikakifunua na kukisambaratisha , kisha akaita polisi, wakati akiwasubiria polisi waffle kuichukua ile maiti ya yule kibaka aliyefumuliwa kichwa kwa risasi mbili, akachukua bia mbili kwenye friji, na kujipongeza huku akiangalia hiyo maiti ya kibaka!.

Nikauliza humu Thread 'This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?' This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kwenye bandiko hilo nilisema

Je inawezekana ushauri kama huo ndio aliutoa kwa Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar es Salaam?, na baada ya mauaji yote hayo, huyu jamaa had the audacity kuitisha press conferences na kusema polisi haijaua mtu!, hivyo mauaji yale ni polisi wetu walikuwa wanatimiza tuu wajibu wao ?.

Iundwe Tume ya Kijaji Kuchunguza
Ikiundwa tume ya kijaji kuchunguza mauaji ya raia wasio na hatia kufuatia kilichotokea, ushahidi utambaini huyo muuaji aliyetoa amri ya kuwaua wananchi wana Darisalama.

Kama Waandamanaji Wameshitakiwa, na Wauaji Pia Washitakiwe!.
Kwa vile waandamanaji wameshitakiwa kwa makosa ya uhaini, maandamano yale sio chanzo, ni matokeo tuu, naomba tutibu na chanzo, kilicho sababisha maandamano hayo, na kuwashitaki waliotoa amri ya kuwaua wananchi wetu. Thread 'Haki Huinua Taifa. Kilichotokea ni matokeo na sio chanzo. Kama matokeo yanapandishwa kizimbani na chanzo pia kipandishwe!' Haki Huinua Taifa. Kilichotokea ni matokeo na sio chanzo. Kama matokeo yanapandishwa kizimbani na chanzo pia kipandishwe!

Kama Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere alikasirika vile kwa vifo 4 tuu mikononi mwa polisi, Tunamuomba Rais wetu mpendwa Dr. Samia Suluhu Hassan, na yeye pia akasirike kama Nyerere, awawajibishe wasaidizi wake waliosababisha kilichotokea, ila ikitokea na yeye akakaa kimya, yaani ameridhika, hii maana yake itakuwa ni... naomba nisimalizie, ila tusiwalaumu bure polisi wetu, wenzenu ni walikuwa kazini, wakitekeleza majukumu yao kwa kutimiza amri halali.

If this be the case, hata hawa wanaitwa wasiojulikana, kwa vitendo wanavyo vifanya, vya utekaji, utesaji, kupoteza watu na mauaji ya wanaotekwa, kuendelea kuwalaumu ni kuwaonea bure, wao ni watu wa kazi tuu kutekeleza amri halali ya wakubwa wao wa kazi kama nilivyoeleza hapa. Thread 'Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!' Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

A Way Forward
  1. Majaji walikuwa wanateuliwa na rais kwasababu hatukuwa na wanasheria wa kutosha, lakini sasa Tanzania, tuna wanasheria wengi wa kutosha, hivyo nafasi zote za majaji hadi Jaji Mkuu zitangazwe, wanasheria wenye sifa waombe, watakao kidhi vingezo, ndipo rais apelekewe majina kuteua.
  2. Ofisi ya DPP ipunguziwe mamlaka ya kuwa ndicho chombo pekee cha kuendesha mashitaka ya jinai, Tanzania tuanzishe Private Investigations Bureaus ili inapotokea matukio ya kihalifu kama kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, shambulio la Lissu, kupoea kwa Soka, Mdude, na kutekwa kwa Humphrey Polepole, tunaona serikali inavyokumbwa na kigugumizi kufanya uchaguzi, Watanzania wawe huru kuwatumia private investigators kuchunguza na kumpa DPP kufungua kesi.
  3. Tuanzishe Private Prosecution Bureaus, na kuifuta ile sheria ya kuomba kibali kwa DPP kuishitaki serikali, ili serikali yetu ikifanya madudu kama mauaji haya yaliyotokea, private investigators wachunguze na private prosecutors waishitaki serikali mahakamani by then majaji sio wa uteuzi wa hisani ni competent walioomba kazi.
  4. Ikithibitika kuna watu sio waandamanaji, wameuliwa kwa makosa, serikali inashitakiwa mahakamani na kulazimishwa kulipa fidia
  5. Kwa vile haya maandamano ya kupinga uchaguzi mkuu sio chanzo bali ni matokeo tuu, damu zisizo na hatia, zitafidiwa na karma, kupitia private investigations tunaweza kuchunguza kukibaini chanzo, na private prosecution tukawashitaki mahakamani hao wasababishi na kulazimishwa kulipa fidia kwa uharibifu wote wa mali uliotokana na vurugu zilizosababishwa na maandamano hayo.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Unafahanu The Nurembeeg Trials ni kitu gani?

Unafahamu umuhimu wake katika dunia hii?

Hivi mnavyosoma shetia huwa mnasoma nini?

Katika miaka yako yote ya kusoma na kufuatikia sheria umeshasikia hizi Nuremberg Trials.
 
Kuna kifungu cha sheria kinachompa Police uwezo wa kukataa anapoona anachofanya siyo sahihi. Tuliokwenda jeshini tunafahamu. Huyu IGP wa ovyo tangu kuundwa kwa nchi yetu, Camillus Wambura ameua watanganyika wengi bila sababu. Nasema bila sababu kwa sababu huu uchaguzi haukuwa wa haki na watanganyika wengi tumeumizwa sana tangu wakati wa Magufuli.....Hakuna atakayebisha kuhusu hilo. Leo watoto wadogo wameuawa wakiwa nyumbani mwao......Mtoto wa mwaka na nusu, ameuawa ndani na mama yake ameuawa ndani na magaidi wa ABDUL na wakaonekana wauaji wakipongezana huko Mbezi Beach, inasemekana Abdul naye alikuwepo, kuwa wamewapiga risasi vizuri sana. Tulitishiwa na polisi kuhusu kuuawa, wakati walipopokea kontena la silaha zilizoingizwa na Abdul....kuwa "Kwa silaha hizi hakuna atakayetaka kufa" Silaha zimenunuliwa kwa fedha za wizi kutoka kwa Abdul ambaye ndiye defacto Director of TISS. Atuue halafu tukae kimya? HAIWEZEKANI, Paskali tutawafuta wale waliokuwa wakiwapiga risasi watu wetu, waliokuwa wakitembea na Landcruisers nyeupe, mmoja baada ya mmoja. Huyo Samia hatatawala tena nchi yetu, kabla hajaendelea kuua atakiona.
Wananchi wana haki ya kuandamana, wala si hisani ya jeshi la polisi, Samia wala Abdul kutupa ruhusa ya kuandamana, ni haki yetu ya kikatiba. Kwa wale walioua ndugu zetu, zao zinakuja.
 
Hata mimi nimewaza hivyo hivyo.maiti 10,000+ sio mchezo Kwa Tena Kwa siku 2 tu.
Slow people, somo la madaraka ya raisi ni shida walikuwa hawaliewi.

Wamejifunza the hard way.

Miaka mingapi unawaambia hawa watu read ‘Republic’ and understand the concept of ‘ship allegory’.

The good news ni kwamba kuna watu wengi, wema kushinda wenye tamaa.

Kilichotokea ni somo, na somo linafundisha.

Genge la wahuni hawana hizo akili, nchi itarudi kwenye mstari.

Ukubwa dawa, ukubwa jalala; unakubali sio wengi mtakuwa tayari kumuomba msamaha Magufuli.

He wasn’t a saint alikuwa na Mapungufu yake, isipokuwa energy yake ya nia njema kwa nchi yake ndio inawatesa leo.

It’s predictable
 
Kuhusu Magufuli, aisee nimejiuliza sana kama angeweza kuruhusu askari wake wapige watu risasi hovyo hovyo tu, nyumba kwa nyumba, mpaka watoto, n.k.

Manake kusema ukweli wengi wa waliouliwa ndo constituency ya Magufuli.

Naamini kabisa, hata kama ingetokea chini ya Magufuli, kuna watu wangekuwa washatumbuliwa sasa hivi.

Lakini huyu fala wa Kizimkazi kashapagawa sasa hajui hata afanye nini.
 
Magufuli hakuwa perfect, he had his shortfalls.

Mafisadi yalikuwa happy baada ya kifo chake kudhurura kufanya ufisadi wao.

Kwa upande wenu huko yatafute makada ambayo piga ua CCM; kwa sababu hii mijitu hutumia hawa kuwasaidia kupiga deal zao
wakienda n’gambo.

Ukikutana na haya mafisadi ya usalama watanzania wakiwa na hao watu (wa CCM) and if they think you are trust worthy kuropoka deal zao .

Ohh my god, kwa sababu kuna mambo tumesikia through trust privilege hatuwezi yasema wazi.

Oh my god hawa watu wana sababu za hovyo sana za kumchukia Magufuli kuwaaribia ulaji wao,

Ukisikia mambo wanayojisifia waliyofanya. Utajiuliza why is fool think it’s OK to tell the tale.

Sasa hivi ndio uozo zaidi ‘nilichoandika’ hapo juu ☝️it used to be safe until 2 years ago hata wahusika wakisoma wanajua you did not tie anything to them.

Hawa wa sasa ni viazi ambao hawajabiwi, don’t try.

Ni hivi ni taahira kweli kweli ambae anaweza mtukana Magufuli; hajui vita yake halisi ilikuwa nini.

Yaani ni mtu taahira haswa, ambae anaweza mtukana Magufuli ambae hayupo kwenye circle za umbea wa ufisadi wa Tanzania,

You have to be very stupid, kumtukana Magufuli
 
Back
Top Bottom