Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Yawezekana Mbowe alikubali kimyakimya ndo maana wakaapishwa? Maana lissu ameshasema kua alikataa
Duh。。。Mkuu Ubaya Ubwela , karibu pande hii, P
 
😂 😂 😂 Ila Pasco wewe ni kiboko
. Na kigogo mwenyewe ameshajulikana kwamba ni Mbowe.
 
Mnyika na Mbowe walihusika moja kwa moja kuwapeleka covid 19 bungeni.

Lema jana kasema aliwahi kuwambia kikaoni kwamba Kigaila na Salum wanapaswa kujiuzuru kwa sababu wake zao ni miongoni mwa covid 19,

Hili suala tulikuwa tukihoji sana humu inakuwaje wake za viongozi wawe ni miongoni mwa hao wabunge fake?

Nadhani sasa wale chadema fuata upepo wamejinea ni kwanini waliitwa manyumbu.
 
Wanabodi,

Sasa sauti imeniambia the one behind hii saga yote ya kina Mdee, ni Kigogo mmoja mkubwa tuu wa Chadema!. Sauti hiyo imeniambia Kigogo huyo alikuwepo ukumbini, kwenye vikao vyote viwili vilivyowatimua kina Mdee!.
Hili jambo la Chadema kuwatimua wabunge wake bila ushahidi wowote,mimi nililiulizia,
Msikilize JJ Mnyika akijibu hoja zangu kuhusu forgery,kisha msikie Mhe。Ester Bulaya akizumzia uteuzi wao
Mhe。Bulaya amethibitisha hakuna jinai ndio maana Chadema hawajashitaki polisi!。

Ila mimi mwenzenu jamani, ni binadamu tuu, huyu mdada,sio tuu namkubali sana kichizi,bali kiukweli,pia nina 。。。,,na hakuna kosa lolote,kwa mtu yoyote,kum。。。 mtu mwingine yeyote,kwa sababu yoyote,au hata bila sababu yoyote, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time ago toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
 
Unachokitafuta Kwa Halima utakipata
 
Ndio mwenye mke wake
No please usiamini makorokocho!Halima mwenyewe namzimikia sauti!,ila kiukweli kuna makabila ya ajabu,kama kabila langu,mtu unamzimikia mtu zaidi ya mmoja!。

P
 

Kumbuka Magufuri alimwita pascal kwa lugha Yao ni njaa
 
No please usiamini makorokocho!Halima mwenyewe namzimikia sauti!,ila kiukweli kuna makabila ya ajabu,kama kabila langu,mtu unamzimikia mtu zaidi ya mmoja!。

P
Chifu naona unataka kupiga buffet

Yule sauti ya zege naye ni ndume

Hayaaaaa mzee babaaaaaa
 
Siyo bulaya peke yake karibu asilimia 80 ya kundi lile la wakina halima ni wa mama wa shoka kweli kweli, na walichokifanya ni usaliti lakini ni usaliti unao husisha mnyama wa kutoka baharini na mnyama wa nchi na kulingana na mazingira ya wakati ule ata wasingeenda wakina halima wangeweza kuokoteza watu wowote wale na kusema ni wabunge wa CDM na mambo yakaendelea. Muhimu hapa wala si wakati wakumtafuta mchawi tena kwasababu, mchawi anajulikana zimebaki siku chache sana Bunge kuisha mimi najua kabisa huo mpango ulifanywa na watu wachache na hao wen,, gine tu walijikuta wameingizwa kwenye mkumbo basi wahusika ambao ni wakina mdee wawaone wazee wachadema na kuongea nao kisha wazee wasimame kama wasuruhishi wa hii issue. Ili kama kuna wanaotaka kurudi chamani waarudi, nani asiye jua utamu wa fedha za Bunge. Na cha zaidi hao walipigana mpaka tone la mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…