Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

kumbe aliyetoa a go ahead kwa kina Mdee na kundi lake, ni kigogo wa Chadema!。

Sasa sauti imeniambia the one behind hii saga yote ya kina Mdee, ni Kigogo mmoja mkubwa tuu wa Chadema!. Sauti hiyo imeniambia Kigogo huyo alikuwepo ukumbini, kwenye vikao vyote viwili vilivyowatimua kina Mdee!. Jee Kigogo huyu ni nani?,
, kule NEC hawahitaji taarifa za kikao, wanahitaji barua ya uteuzi na fomu zilizosainiwa. Barua ilikuwepo na fomu zilikuwepo na hapa ndipo nikaisikia sauti from within kuwa mtu aliyewapa go ahead kina Mdee ni Kigogo mmoja wa Chadema, ni mjumbe wa CC na siku ya kikao cha Kamati Kuu Chadema, kilichokaa kama a Kangaroo court na kuwatimua, alikuwepo!. Siku ya Kikao cha Baraza Kuu, kubariki ule Ukangaroo wa Kamati Kuu Chadema alikuwepo ukumbini!. Sauti Imeishia hapo.

Jee Kigogo Huyu ni Nani?.
Yawezekana Mbowe alikubali kimyakimya ndo maana wakaapishwa? Maana lissu ameshasema kua alikataa
Duh。。。Mkuu Ubaya Ubwela , karibu pande hii, P
 
Soon Kigogo huyu atabainika.
Now it's only a matter of time!.

Nimeliona andiko hili japo sijalisoma its contents lakini hii ni habari njema kwa Chadema View attachment 3064986 kwasababu itawaepushia karma ya machozi, jasho na damu ya makamanda hawa.

Hiki ambacho Chadema inakwenda kukifanya sasa, mimi niliwashauri kitambo CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Hata baada ya Chadema kushinda kesi mahakamani kuwa wametimuliwa kihalali, bado tuliwashauri Chadema
Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!
Na hili la kuwasamehe likija kutokea, mimi ni miongoni mwa tutakao farijika sana kwasababu tulishauri, tukapuuzwa, ila ushauri wetu unatekelezwa step by step Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

Wawasamehe tuu yaishe!.
P
😂 😂 😂 Ila Pasco wewe ni kiboko
. Na kigogo mwenyewe ameshajulikana kwamba ni Mbowe.
 
Mnyika na Mbowe walihusika moja kwa moja kuwapeleka covid 19 bungeni.

Lema jana kasema aliwahi kuwambia kikaoni kwamba Kigaila na Salum wanapaswa kujiuzuru kwa sababu wake zao ni miongoni mwa covid 19,

Hili suala tulikuwa tukihoji sana humu inakuwaje wake za viongozi wawe ni miongoni mwa hao wabunge fake?

Nadhani sasa wale chadema fuata upepo wamejinea ni kwanini waliitwa manyumbu.
 
Wanabodi,

Sasa sauti imeniambia the one behind hii saga yote ya kina Mdee, ni Kigogo mmoja mkubwa tuu wa Chadema!. Sauti hiyo imeniambia Kigogo huyo alikuwepo ukumbini, kwenye vikao vyote viwili vilivyowatimua kina Mdee!.
Hili jambo la Chadema kuwatimua wabunge wake bila ushahidi wowote,mimi nililiulizia,
4. Pia JJ Mnyika amejitahidi kujibu hoja mbalimbali za mwandishi Pasco Mayalla, zikiwemo hoja kuhusu wale wabunge wake 19, likiwemo jibu la swali ”Kwanini Chadema mpaka leo haijaripoti polisi kuhusu jinai ya kughushi ya wabunge hao 19?”
View: https://youtu.be/-M8HnYQgtAc?si=mBlAuAvub0JcokXp

5. JJ Mnyika, amesema Chadema ina uthibitisho wa uhusika wa mamlaka za nchi katika jinai ya kughushi uteuzi wa wabunge 19, serikali ikihusika na jinai, jeshi la polisi halifanyi uchunguzi!. Hata shambulio la Lissu, mamlaka ilihusika ndio maana mpaka leo hakuna uchunguzi wowote wa kijinai
View: https://youtu.be/CH1amKvbsQc?si=4_QhuIr4MXrYpv5J

Msikilize JJ Mnyika akijibu hoja zangu kuhusu forgery,kisha msikie Mhe。Ester Bulaya akizumzia uteuzi wao
Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani
View attachment 3247495
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mhe。Bulaya amethibitisha hakuna jinai ndio maana Chadema hawajashitaki polisi!。

Ila mimi mwenzenu jamani, ni binadamu tuu, huyu mdada,sio tuu namkubali sana kichizi,bali kiukweli,pia nina 。。。,,na hakuna kosa lolote,kwa mtu yoyote,kum。。。 mtu mwingine yeyote,kwa sababu yoyote,au hata bila sababu yoyote, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time ago toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
 
Hili jambo la Chadema kuwatimua wabunge wake bila ushahidi wowote,mimi nililiulizia,

Msikilize JJ Mnyika akijibu hoja zangu kuhusu forgery,kisha msikie Mhe。Ester Bulaya akizumzia uteuzi wao

Mhe。Bulaya amethibitisha hakuna jinai ndio maana Chadema hawajashitaki polisi!。

Ila mimi mwenzenu jamani, ni binadamu tuu, huyu mdada,sio tuu namkubali sana kichizi,bali kiukweli,pia nina 。。。,,na hakuna kosa lolote,kwa mtu yoyote,kum。。。 mtu mwingine yeyote,kwa sababu yoyote,au hata bila sababu yoyote, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time ago toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
Unachokitafuta Kwa Halima utakipata
 
Ndio mwenye mke wake
No please usiamini makorokocho!Halima mwenyewe namzimikia sauti!,ila kiukweli kuna makabila ya ajabu,kama kabila langu,mtu unamzimikia mtu zaidi ya mmoja!。

P
 
Kaka Pascal Mayalla, kwanini jambo hili likunyanyase na kukunyima usingizi kiasi hiki? Uliwahi kuchambua, kama ufanyavyo hapa, alipofukuzwa uanachama wa CCM Mama Sophia Simba?

Halafu, unapotaka kueleweka pale unapozungumzia sheria ni vyema kuweka vifungu vya sheria husika. Viko wapi vifungu vya Katiba ya CHADEMA unavyojengea hoja yako? Hebu waache CHADEMA wamalizane wao kwa wao, pilipili usioila yakwashia nini kaka? Ha ha ha ha

Kaka Pascal Mayalla, kwanini jambo hili likunyanyase na kukunyima usingizi kiasi hiki? Uliwahi kuchambua, kama ufanyavyo hapa, alipofukuzwa uanachama wa CCM Mama Sophia Simba?

Halafu, unapotaka kueleweka pale unapozungumzia sheria ni vyema kuweka vifungu vya sheria husika. Viko wapi vifungu vya Katiba ya CHADEMA unavyojengea hoja yako? Hebu waache CHADEMA wamalizane wao kwa wao, pilipili usioila yakwashia nini kaka? Ha ha ha ha ha
Kumbuka Magufuri alimwita pascal kwa lugha Yao ni njaa
 
No please usiamini makorokocho!Halima mwenyewe namzimikia sauti!,ila kiukweli kuna makabila ya ajabu,kama kabila langu,mtu unamzimikia mtu zaidi ya mmoja!。

P
Chifu naona unataka kupiga buffet

Yule sauti ya zege naye ni ndume

Hayaaaaa mzee babaaaaaa
 
Hili jambo la Chadema kuwatimua wabunge wake bila ushahidi wowote,mimi nililiulizia,

Msikilize JJ Mnyika akijibu hoja zangu kuhusu forgery,kisha msikie Mhe。Ester Bulaya akizumzia uteuzi wao

Mhe。Bulaya amethibitisha hakuna jinai ndio maana Chadema hawajashitaki polisi!。

Ila mimi mwenzenu jamani, ni binadamu tuu, huyu mdada,sio tuu namkubali sana kichizi,bali kiukweli,pia nina 。。。,,na hakuna kosa lolote,kwa mtu yoyote,kum。。。 mtu mwingine yeyote,kwa sababu yoyote,au hata bila sababu yoyote, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time ago toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
Siyo bulaya peke yake karibu asilimia 80 ya kundi lile la wakina halima ni wa mama wa shoka kweli kweli, na walichokifanya ni usaliti lakini ni usaliti unao husisha mnyama wa kutoka baharini na mnyama wa nchi na kulingana na mazingira ya wakati ule ata wasingeenda wakina halima wangeweza kuokoteza watu wowote wale na kusema ni wabunge wa CDM na mambo yakaendelea. Muhimu hapa wala si wakati wakumtafuta mchawi tena kwasababu, mchawi anajulikana zimebaki siku chache sana Bunge kuisha mimi najua kabisa huo mpango ulifanywa na watu wachache na hao wen,, gine tu walijikuta wameingizwa kwenye mkumbo basi wahusika ambao ni wakina mdee wawaone wazee wachadema na kuongea nao kisha wazee wasimame kama wasuruhishi wa hii issue. Ili kama kuna wanaotaka kurudi chamani waarudi, nani asiye jua utamu wa fedha za Bunge. Na cha zaidi hao walipigana mpaka tone la mwisho.
 
Back
Top Bottom