Volkswagen golf anavyoitoa mafua Benz c350 v6

Volkswagen golf anavyoitoa mafua Benz c350 v6

Je benz alikuwa kwenye mashindano? Usikute kajikadiria mwenyewe mie mwisho ni 140, akawa anatembea humo.
Hiyo speed ni kubwa Sana angalia vizuri hiyo clip utapata jibu..speed 140 ni yakawaida Sana barabarani usikariri kwenye speed za Toyota hawa no wajerumani mzeee
 
Jamaa wana Kaushamba flani hivi huwezi kufuta🤣🤣
Wengi wao hawataki kuikubali Mercedes kwanza wanaweza kuimudu VW hata ikiwa mpya ila Mercedes wengi inawashinda mpaka ipite muda ndio wananunua sasa hawa wengine kwa sababu hiyo wanaanza kuichukia na kumchukia mwenye Mercedes hata kwa kuweka ligi tuu za kutengeneza...
 
Back
Top Bottom