Volkswagen Polo TSI

Unanuaje gari mkononi mkuu
 
Sio kweli acheni kutosha watu ,hizi akili za Toyota zinawatoka lini
Hilo angalizo tu 🤣 mtu hajui kama kuna kubadili oil na filter pamoja na kukagua break fluid, maji na ATF ukamtweshe mjerumani aanze kuteswa na sensor na oil leaks?

Anaweza akaichukia gari yake ghafla.
 
Amekuseti kiboya hapo. Hio gari kashaona mziki wake mnene 🤣 utashangaa baada ya kukuuzia wewe hio yeye atakimbilia kwenye RunX au Premio 🤣
 
Usije ukafanya makosa na kuanza safari ya kumiliki gari nje ya Toyota😀
Daah mimi nilianza na 405 nikaja na Honda ballade auto nilipokuja nayo Tanzania walisema auto zinasumbua mno mno walikua wanatumia manual kipindi hicho...nilipoiacha wakaona inatembea tuu wakawa wanapishana kutaka kununua wakati nilishabadili mawazo kwa kaburu unaweza kutoka na Jiwe lolote na like likakusaidia huku mbele gari zao ni ngumu sana na pia watumiaji wanajali sana Service ya gari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…