National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Mawazo yako tu, wapo wanatunza gari za mzungu kuliko hizo za japan.Inawezekana Mkuu ila wa bongo wengi utunzaji wetu wa gari za kizungu ni mtihani , kingine wazoefu wa hizi gari hua wana shauri mtu kama gari yake ya kwanza kumiliki aanze na mjapan hasa Toyota