Volkswagen Polo TSI

Volkswagen Polo TSI

Nb:bajeti yangu ni 10m,
Kabla sijakutana na huyu mtu wa volkwaggen.nilikua nataka kununua gari kati ya hizi,naziandika kutokana na priority
1.premio
2.allex
3.runx
4.allion

Sasa huyu wa volkswagen namfahamu japo gari sijaiona,ila anaitumia mke wake na hana mizunguko kiivyo pia toka inunuliwe haina muda sana ,sasa ndio amenishtua kwamba nikitaka naweza ichukua hiyo,nishaurini wakuu

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Unanuaje gari mkononi mkuu
 
Sio kweli acheni kutosha watu ,hizi akili za Toyota zinawatoka lini
Hilo angalizo tu 🤣 mtu hajui kama kuna kubadili oil na filter pamoja na kukagua break fluid, maji na ATF ukamtweshe mjerumani aanze kuteswa na sensor na oil leaks?

Anaweza akaichukia gari yake ghafla.
 
Nb:bajeti yangu ni 10m,
Kabla sijakutana na huyu mtu wa volkwaggen.nilikua nataka kununua gari kati ya hizi,naziandika kutokana na priority
1.premio
2.allex
3.runx
4.allion

Sasa huyu wa volkswagen namfahamu japo gari sijaiona,ila anaitumia mke wake na hana mizunguko kiivyo pia toka inunuliwe haina muda sana ,sasa ndio amenishtua kwamba nikitaka naweza ichukua hiyo,nishaurini wakuu

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Amekuseti kiboya hapo. Hio gari kashaona mziki wake mnene 🤣 utashangaa baada ya kukuuzia wewe hio yeye atakimbilia kwenye RunX au Premio 🤣
 
Usije ukafanya makosa na kuanza safari ya kumiliki gari nje ya Toyota😀
Daah mimi nilianza na 405 nikaja na Honda ballade auto nilipokuja nayo Tanzania walisema auto zinasumbua mno mno walikua wanatumia manual kipindi hicho...nilipoiacha wakaona inatembea tuu wakawa wanapishana kutaka kununua wakati nilishabadili mawazo kwa kaburu unaweza kutoka na Jiwe lolote na like likakusaidia huku mbele gari zao ni ngumu sana na pia watumiaji wanajali sana Service ya gari..
 
Back
Top Bottom