Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Hiyo mashine mashine kweli mkuu. hii model ina feature nyingi nzuri sana
Mimi ni mpenzi wa VW sana kuna hatchback moja Scirocco hii mwakani mungu akijalia natembea nimekaa na nitahitaji wenye kujua kuhusu hiyo wanipe maarifa Extrovert RRONDO Holy Man
Chukua chombo, VW wapo serious na kazi zao mkuu, mafundi wapo, spare zipo na kama utaichua kwenye hali nzuri kazi yako inakuwa ni services tu mkuu, na kama pia utakuwa mtunzaji, kwenye matuta ibembeleze kwenye barabara za lasta na mbaya siziwe rafiki yako sana.. hapo utazifurahi hizo gari mkuu wangu.
 
Hiyo mashine mashine kweli mkuu. hii model ina feature nyingi nzuri sana
Mimi ni mpenzi wa VW sana kuna hatchback moja Scirocco hii mwakani mungu akijalia natembea nimekaa na nitahitaji wenye kujua kuhusu hiyo wanipe maarifa Extrovert RRONDO Holy Man
Mkuu hizo VW Scirocco huwa zinakuja zikiwa zimekuwa tuned. Wiki hii Kuna Moja nimekutana nayo Water Front ni IT.

Sauti ya engine kama gari VW za Rally.
 
Mkuu hizo VW Scirocco huwa zinakuja zikiwa zimekuwa tuned. Wiki hii Kuna Moja nimekutana nayo Water Front ni IT.

Sauti ya engine kama gari VW za Rally.
Apate kama hii,matusi yake itakuwa ni hatari

Screenshot_20210707-070226_Chrome.jpg
 
Ttzo ni za kichoyo km zilivyokuwa vw beatlle,wangeunda na za milango mitano ingepe deza
Umenitajia VW betatlle 😀😀😀 nimekumbuka, kuna jamaa namtongoza aniuzie bei ya kutupa, kaniwekea roho ngumu tu hadi leo ila ni ki gari kizuri kakutoka na wife. Hakuna lift hapo, ila vina nafasi nyuma kubwa tu, sema ndio milango miwili
 
Back
Top Bottom