KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Yote tu ili u'diss gari yangu sio?.Toyota forturer na Toyota Surf ni Hilux zilizofunikwa kwa nyuma/zilizochangamka.
We unapenda nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote tu ili u'diss gari yangu sio?.Toyota forturer na Toyota Surf ni Hilux zilizofunikwa kwa nyuma/zilizochangamka.
Magari ya ndoto zangu kwa upande wa toyota ni:Fortuner ni gari iliotengenezwa ikakamilika mkuu iko tofauti na gari nyingi za Toyota interms of build quality!
Daah samahani mkuu,mi napenda baiskeli Aina ya swala au Phoenix mkuu.Ndio uwezo wangu unaishia hapo.Yote tu ili u'diss gari yangu sio?.
We unapenda nini
Hizo facelifted zote ni kali kinyama😂 naunga mkono hoja!Magari ya ndoto zangu kwa upande wa toyota ni:
Prado hizi toleo la kuanzia 2020
Fortuner hizi new model
Hilux za kuanzia 2019
Najua kuna siku ntamiliki moja kati ya hizo lazima.
Hii fortuner labda ile ya zamani! Sasa na 4Runner mtaiitaje au Surf!?Daah samahani mkuu,mi napenda baiskeli Aina ya swala au Phoenix mkuu.Ndio uwezo wangu unaishia hapo.
View attachment 1843838
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikipata moja ya hayo maisha ntakuwa nmeyapatia mkuuHizo facelifted zote ni kali kinyama[emoji23] naunga mkono hoja!
Surf unajua lkn inaitwa Toyota Hilux surf mzee baba?Hii fortuner labda ile ya zamani! Sasa na 4Runner mtaiitaje au Surf!?
Kabisa narelax nasubiri kufa tu!Kama mbunge hivi
Kwani jomba ukisikia Fortuner inaitwa ni Hilux we unakua unafikiria ni kwanini inaitwa hivyo?Ndio hilux surf maanake ni pickup iliofunikwa ila sio fortuner mzee baba
May your dreams be realised.Nimeanza kuweka buku kila siku hadi ndoto itimie 😂😂😂 najua sintokufa kabla haijatimia!
Baadhi ya japanese luxury vehicles ulizoendesha ni Kama zipi mdau?May your dreams be realised.
Utume mzigo ukiupata tuuone, uzi utatunzwa na mods.
Nimechoka na Japanese vehicles hata ziwe luxury vipi 😂😂😂
Ukipata ya diesel na iwe manual unaipenda mjomba hiyo ndo VW😂😂😂😂😂😂😂 wataelewa tu sababu gari kama hii mi lazima ninunue hata kama Spea tutaagiza Sri Lanka kwenye mabarafu na Eskimo!
Ni kweli mkuu hongera sana kwa uamuzi makini chief! VW ni gari utainjoy sana kuiendesha