mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah mwana leo hata Mimi amenishangaza Sana.Jamaa anakuwaga na extensive knowledge lkn leo kaniangusha sana[emoji22]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah mwana leo hata Mimi amenishangaza Sana.Jamaa anakuwaga na extensive knowledge lkn leo kaniangusha sana[emoji22]
Mm nazungumzia wetu hawa kila baada ya hatua mbili unawakuta wamejaa.....!We ulishawahi ona traffic mitaa ya Los Angeles?
Na ina bei mbaya pia 😀😀😀Hii gari sijui kwanini naionaga ina sura mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko Scandinavia kwenyewe nchi Kama Sweden,Norway Toyota inauza kuliko wajerumani akina BMW,Benz,Audi.Angalia wazungu wanaotokea nchi za Scandinavia alafu uwafananishe na wazungu wahuni wa marekani
Hii fortuner si wanazengo wanasema ni hilux iliyochangamka?Hongera sana
Good Taste
Basi mi my dream car ni Toyota Fortuner-New Model....zingatia New Model..
Madly in loove
Sijawahi penda Toyota until i saw this car
View attachment 1842751
I Used to love BMW X3 New Model wth sunroof..
View attachment 1842750
Now i have 2 Favorites
Naomba mwakani mwezi Kama huu unisindikize bandarini kubeba chombo kimoja linaitwa G wagon ya 2013 mkuu✍️✍️✍️Nimeanza kuweka buku kila siku hadi ndoto itimie 😂😂😂 najua sintokufa kabla haijatimia!
Chief hii uje uagize South Africa,sio bei kivile kama unaweza afford .Ya ukweli sana yani dah kila nikiiona napata goosebumps [emoji2956] hapa mjerumani alitulia mno!
Huwezi fananisha Murano na Touareg,compact vs midsize SUV.Kabisa. Exrovert ndo wewe wa jinsia za magari siyo?[emoji23][emoji23][emoji23] ya kike na ya kiume.
Embu nijulishe hiyo Murano hapo chini na harrier kuna tofauti gani na hiyo ya kiume VW?
View attachment 1841926
View attachment 1841924View attachment 1841925
Hizo za zamani sana , generation ya kuanzia 2014 kuja juu ziko poa zaidi.Hio mziki ila models za 2005-2006 unaweza pata kwa about 40M kibunda hio ni kuagiza na kodi ndani utabakiwa na chenchi ya kuweka bima na makorokoro mengine! Hardly 35M inamaliza mchakato wote
Kuna Toyota specifically made for USA market ambazo sio kama zile unaziona beforward kama Avalon, Siena, sequoia, Tundra, Corolla nk.Nilikuwa sijui hicho kitu aisee....
Toyota ni top sellers in US? Kwa Magari gani ambayo ameuza Hadi kufikia hivyo,
Ila sishangai Kwa USA kuuza Magari mengi kwasabb hawa jamaa ni choka mbaya Tu Kwa asilimia kubwa
Kuna option 2 ,nunua kwa dealer zile pre-owned bila VAT ambayo ni 15%, option ya pili accident/damaged cars kwenye auction ambako gari ya 2018-2020 unaweza pata kwa 15-25 m max. Unalitengeneza na kusepa nalo. Hizi zote unauziwa na documents original,naona kama japan bei iko juu zaidi .Yeah ila kwa mkaburu documents sindio inakuwaga miyeyusho
Shukrani Sana mkuuHuko Scandinavia kwenyewe nchi Kama Sweden,Norway Toyota inauza kuliko wajerumani akina BMW,Benz,Audi.
Mjerumani aliyeuza kuliko Toyota huko Scandinavia ni VW tu,wajerumani wote waliobaki ni mwendo wa kipigo tu.
Cheki records za 2020
View attachment 1843006
View attachment 1843007
Nakupongeza kwa kuwaza tofauti na kua Unique sio kila mtu Toyota..hua nnashangaa kijana wa leo unapata Fedha ya kununua gar unaenda unanunua Toyota😄😄😄Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!
View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909
Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Nimekubali Mkuu hasa Kwenye Toyota....Huko Scandinavia kwenyewe nchi Kama Sweden,Norway Toyota inauza kuliko wajerumani akina BMW,Benz,Audi.
Mjerumani aliyeuza kuliko Toyota huko Scandinavia ni VW tu,wajerumani wote waliobaki ni mwendo wa kipigo tu.
Cheki records za 2020
View attachment 1843006
View attachment 1843007