Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Zile za zamani zamani zinaonekana kama matoleo ya miaka ya 90 zile ukiiona ni benzo kabisa yani! G Class
Mchina zote zile nazijua,jeshi letu halijaweza miliki hizo,gari hizo kwa wingi zililetwa na kanisa katoliki nao zilikua za msaada.

Nyingi zilikua Njombe,Peramiho na Ndanda wengi wanaozimiliki wamezitoa huko,hakuna taasisi wala kampuni ilikua na ubavu wa kuingiza gari hizo kwa matumizi ya ofisi
 
Kweli aisee, ndanda mission niliiona, mtwara stella Maris niliiona zote zipo mission
 
Mchina zote zile nazijua,jeshi letu halijaweza miliki hizo,gari hizo kwa wingi zililetwa na kanisa katoliki nao zilikua za msaada.

Nyingi zilikua Njombe,Peramiho na Ndanda wengi wanaozimiliki wamezitoa huko,hakuna taasisi wala kampuni ilikua na ubavu wa kuingiza gari hizo kwa matumizi ya ofisi
Enzi hizo mtaani kwetu Kuna dingi mmoja alinunuaga hio ndinga baada ya Muda akasimamishwa kazi kuchunguzwa(alikua serikalini) nikawa nashangaa tu maana Gari yenyewe Nilikua nalionaga baya kishenzi afu hata ndani halikua confortable, Nilikua nalinganisha na Mb ML320 ya enzi hizo(hii nimeipanda na kuiendesha kila J2 kwenda church na kwny matukio maalum) ambako Nilikua naliona confortable kichizi.

Nilivyoanza kutafuta hela kwa jasho ndipo nikajua kwanini huyo mshua alidakwa(kumbe hio chuma ilikua ni ya pesa mingi) na nikajiona fala Sana kulinganisha G-wagon vs Ml 320.
 
Unaweza kunieleza maana ya hii sentence mkuu.

'Toyota reached the milestone of 44 million Corollas sold OVER TWELVE GENERATIONS in 2016'.
Mawazo yangu yote model ya kwanza ndio iliwapa umaarufu na kuuza sana kuliko zilizofuata... kumbe ni tofauti?
 
Kuna gari zinaitwa dodge challenger au demon ni kali sana mkuu.
2015_Dodge_Challenger_SRT_392_Jazz_Blue_Pearl.jpg
 
Back
Top Bottom