Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

G Wagon original wanazo polisi pale Ufundi Dar, tena ni matoleo ya nyuma sana. Hizo G Wagon heshima Sana, kwenye gari zote zile zilizokamatwa na madawa na kesi mbalimbali Range Rover zilikuwepo ila mnyama G hakuonekana.
 
Kuna Corrola SUV..
Umeiona?
1625508730781.png
 
Dah bwana mkubwa kwa hyo

Lc 200 series na kit kutoka ttr hujaiona?
Ila jah bless upate hitaji la moyo

Mimi lc200 na ile kit ndugu nmekufa asee
 
Mnyama kwangu ni VW Amarok hii natembea popote kwa confidence. Ongezeni uhitaji wa SUV ili Pick-up (Bakkie) zishuke Bei.
 
Inauzwa shillingi ngapi ikiwa mpya (maana si tumeambiwa kuna kiwanda hapo Rwanda)
 
Utakuta kuna mijitu inalo[emoji28].nilikuwa Geita Gold mine kuna mjinga ana harrier toleo la mwaka elfu mbili kumi na .yani la baada ya 2018. Analo peke yake kanda ya ziwa yote itakuwa
 
My love for Germany is in Touareg, Audi Q5 ama BMW x1
We jamaa umeniacha hoi leo. Nikisoma comment zako na akili zako za leo ni vitu viwili tofauti kabisa. Unahamasisha Toyota kumbe una wish list tofauti.
 
We jamaa umeniacha hoi leo. Nikisoma comment zako na akili zako za leo ni vitu viwili tofauti kabisa. Unahamasisha Toyota kumbe una wish list tofauti.
Toyota for reliability mzee baba ila hizi gari za ndoto sio Toyota! Tunazungumzia mazingira mazuri ya kiuchumi yanaweza ku accomodate uagizaji wa vipuri anytime 😅😅😅 ila kwa hali ya sasa nilio nayo sina budi kukomaa na kiwanda cha Toyopet Japan.
 
Huyu mwamba kavuta bangi!
Hakika nimeshangaa...watu wanasukuma Lamborghini kama IST tu kule..

Sasa hivi wameintroduce Jet-car...ukiona mifoleni unachange gear kitu kinapaa mawinguni, ukichoka kuelea huko kwa Sir God, unachange gear unashuka tena hapa kuzimu, umeona hiyo ....

Wamarekani kwa magari ya kifahari hakuna anayemgusa duniani
 
Halafu poyoyo mmoja wa kutoka mabibo mwisho anadiss GDP ya $63,000 kwa mwaka! Hio ni Equivalent kama na 150M za kibongo bongo kwa kila mwananchi mmoja wa Marekani😅😅😅!
 
Back
Top Bottom