dr shayo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 555
- 980
Okay ila iyo Tourage ni ya mwaka gani mzee baba ili nijue najichanga vipi mpaka kibubu kijae [emoji3][emoji3][emoji3]. Maana kila kukicha vyuma vipya vinaingia road .Hizo ni gari 2 tofauti mkuu! Tiguan ni mdogo wake Touareg
Sent using Jamii Forums mobile app