Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

In short kama unatenga $20,000 unaendesha European car nzuri na latest sana. Tunakomaa na magari ya zamani bure tu. Ukijipangia malengo yako hushindwi
Tatizo ukizifikisha hizo hela ujue ni una majanga ya pesa kila kona kiasi kwamba gari inakuwa last option sasa na huwezi kutoa almost 50m uweke mchuma uani[emoji848]
 
In short kama unatenga $20,000 unaendesha European car nzuri na latest sana. Tunakomaa na magari ya zamani bure tu. Ukijipangia malengo yako hushindwi
Malengo tu mkuu, ndio maana nimejiwekea malengo yangu toka mwezi wa kwanza au kuvuta E350 AMG iliyosimama kweli kabla mwaka huu kwisha. Then yatafatia hayo mengine mwakani navuta ingine M5 japo sio rahisi. Ila inawezekana kama una focus
 
Unafanaya masihara na ku save 50M wewe kwa vipato vyetu vya unga unga mwana 😂😂😂 bado ujapigiwa simu mjomba wako kameza wembe huko SIMIYU mchango wa kumpeleka India!
Mkuu matatizo ya watu hayaishi, kama utashindwa ku save kwa ajiri ya matatzio .. basi sahahu kufanikiwa 😀😀😀. Matatizo ya hii dunia yapo kila siku
 
Tafta Fanta baridi uondoe hangover hio kwanza [emoji23]
Si ndo hii hii mkuu au ?
FB_IMG_1625478728495.jpg
FB_IMG_1625478721470.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ananizingua najua ...unajipa moyo vitu ambavyo haviwezekani[emoji848]

Hata ukisave hiyo 50M lazima ubadilishe gia angani[emoji16]

Kununua gari expensive inahitaji moyo wa chuma coz kunahitajika hela yote tena cash sio kama nyumba unadunduliza
Mkuu cheki diamond mika 15 iliyopita alikuwa wapi, na wewe ulikuwa wapi. Usikate tamaa unaweza mkuu wangu. Usijinyime kitu roho inapenda 🙂🙂
 
Kila hatua ya mafanikio unaypiga kusonga mbele nimegundua... pesa ni perceived value...
Kuna mtu laki 5 anaiona kama million..
Yeah kadri zinavyoongezeka unaanza kuizoea hela! Kipindi huna uwezo wa million ulikuwa unahisi ni kama fortune kuimiliki ila ukifika levels za 10M unaona tena 1M ni kama laki tu! Ukisogea ukafikia kwenye 100Ms unaona hizi za chini ni za kama buku buku hata kwa kumsimulia mtu anaona heee!
 
Back
Top Bottom