Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Mwenzenu mi naipenda kinoma yaan!

Bei bado imesimama mkuu, ngoja nikuletee mchanganuo
Screenshot_20210705-123113_Chrome.jpg

Hizi hapo, ukitulia ukachanganya karata zako.. mbona una nyongo ndinga hiyo.. kama una kipata kizuri kwa mwaka, ni miaka yako mitano tu.. unavuta hapo hata kufa itakuwa bado πŸ™‚πŸ™‚
 
Back
Top Bottom