Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Ina maana yale sio mjerumani yale kumbe!?😟😟😟 mi huwa nahisi ni model za 1990 zile
Hadi jeshini wanapigwa mtu mbad πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚.. zile za jeshi famba, huwa nazitamaaa hazina kabisa ule u G wagon wenyewe. Kuna Padre wangu mmoja miaka ya nyuma alikuwa nayo hii G wagon yenyewe
 
Hio nafuu mzee sema tu nimekuja gundua hii gari imetengenezwa na mfumo special wanadai ni kama millitary car ndio maana bei zake ni mkasi! Latest model ime clock $157,500 mzee
Hatari sana hiyo bei... mimi kama nigger hapa kansas city Missouri nanunua nyumba cash, no down payment..

Tundelee kupambana tutimize vyote tunavyovihitaji kwa uweza wake Allah
 
Hadi jeshini wanapigwa mtu mbad πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚.. zile za jeshi famba, huwa nazitamaaa hazina kabisa ule u G wagon wenyewe. Kuna Padre wangu mmoja miaka ya nyuma alikuwa nayo hii G wagon yenyewe
Heheheh kama hadi wanajeshi wanatumia simba wa kuchora πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ basi ni balaa
 
Hatari sana hiyo bei... mimi kama nigger hapa kansas city Missouri nanunua nyumba cash, no down payment..

Tundelee kupambana tutimize vyote tunavyovihitaji kwa uweza wake Allah
Dont tryna put me in a 30 year payment plan...thats for suckaz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ !!!

Nakubali mzee
 
Mkuu usisahau Mtanzania wa kipato cha Kati chini gari yake CIF haizidi $3000
🀭🀭🀭 tupeana tu moyo, maana hata mimi Naitaka BMW M5, baada ya E350 AMG, then Audi A8 Sportback nayo naitaka, na ninaitaka pia RS6 na hata Golf R.. naendelea kuota tu ..madam kuota ni bure na kujipa moyo ni bure pia
 
In short kama unatenga $20,000 unaendesha European car nzuri na latest sana. Tunakomaa na magari ya zamani bure tu. Ukijipangia malengo yako hushindwi
 
Black imetulia kinoma noma, heshima hiyo eeh! Ndio jiongeze uipate hiyo hela, punguza matumizi,ongeva ku save zaidi.. ili utimize ndoto zako
Unafanaya masihara na ku save 50M wewe kwa vipato vyetu vya unga unga mwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bado ujapigiwa simu mjomba wako kameza wembe huko SIMIYU mchango wa kumpeleka India!
 
Black imetulia kinoma noma, heshima hiyo eeh! Ndio jiongeze uipate hiyo hela, punguza matumizi,ongeva ku save zaidi.. ili utimize ndoto zako
Aaah wapi ngoja niendelee kuota tu, kuota na kusema mdomoni kuwa ntalimiliki ni bure silipii[emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Unafanaya masihara na ku save 50M wewe kwa vipato vyetu vya unga unga mwana [emoji23][emoji23][emoji23] bado ujapigiwa simu mjomba wako kameza wembe huko SIMIYU mchango wa kumpeleka India!
Huyo ananizingua najua ...unajipa moyo vitu ambavyo haviwezekani[emoji848]

Hata ukisave hiyo 50M lazima ubadilishe gia angani[emoji16]

Kununua gari expensive inahitaji moyo wa chuma coz kunahitajika hela yote tena cash sio kama nyumba unadunduliza
 
Kwa kweli tuna hali ngumu hio pesa kuichop kizembe ni ngumu!
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909

Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Hii ni volkswagen Tiguan mkuu sio Tourage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom