Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Hilo nakataa sio kwa hii hapa mjomba.
View attachment 1842110
kwangu ni toleo bora toka nilipoanza kuiona hio gari enzi za Bony & Clyde ya jigga
Screenshot_20210705-120625_Chrome.jpg


Ona kama hiyo ya 2000πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hio nafuu mzee sema tu nimekuja gundua hii gari imetengenezwa na mfumo special wanadai ni kama millitary car ndio maana bei zake ni mkasi! Latest model ime clock $157,500 mzee
G Wagon achana nazo hizo machine, kuipundua hadi uimwage mwenyewe πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Back
Top Bottom