Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humo utaishi tu mzee ni swala la muda tuMioyo yangu imelala hapa 😀😀😀 ikitokea ghafla bin vuuu badi ni hapaaa
View attachment 1842080
BMW M5
View attachment 1842081
Audi Sportback
View attachment 1842082
E350 AMG
Hela hizi zikuje tu
Kwa sie wapenda vya chini chini.. 😀😀😀.. wapenda vya juu juu mna raha sanaHumo utaishi tu mzee ni swala la muda tu
Cha juu juu hiki kizuri , sema 🤭🤭🤭Aisee mie ni wa Juu tu kama alivyosema Joel Lwaga 😂😂😂 we mpenda mbio bora ukae chini chini tu!
Kina chake hakipimiki.. unabaki unatazama tu 😀😀😀Eeh humo pazuri sana napo sema kina cha Titanic 😂😂😂
G inabaki kuwa G hata kama ya 1995 😀😀😀😀Eeh mzee ukitaka ile latest G63 ni unazungumzia serious stacks! Labda ubebe chakavu ya mwaka 2000
Naam, gari makini sana.Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!
View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909
Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Hapo vipi?
Gari nzuri sana, pia bei zake mpya hazitishi sana.Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!
View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909
Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Bei gani !?Gari nzuri sana, pia bei zake mpya hazitishi sana.
Hio mziki ila models za 2005-2006 unaweza pata kwa about 40M kibunda hio ni kuagiza na kodi ndani utabakiwa na chenchi ya kuweka bima na makorokoro mengine! Hardly 35M inamaliza mchakato woteHii ni ngapi nijipime kama kwangu ni ndoto ama /I can do something.....!
Tzs 35mill tu za kitanzania. Chap goma ndani ya parkingHio mziki ila models za 2005-2006 unaweza pata kwa about 40M kibunda hio ni kuagiza na kodi ndani utabakiwa na chenchi ya kuweka bima na makorokoro mengine! Hardly 35M inamaliza mchakato wote