Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Mzee baba huoni au hujala mchicha siku nyingi?[emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Hicho kiuchafu cha TaTa hapo juu kimekaa kama demu anakupa mbuzi kagoma utafananisha na Touareg na huo usafiri wa hapo chini!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
G inabaki kuwa G hata kama ya 1995 😀😀😀😀
Hilo nakataa sio kwa hii hapa mjomba.
E78DDA49-AA9A-45F6-ADC0-5C93A31250E9.jpeg

kwangu ni toleo bora toka nilipoanza kuiona hio gari enzi za Bony & Clyde ya jigga
 
Kupenda penda sio mbaya, hata mie kesho naweza penda ingine kama RS6.. alafu napenda sana hata Ferrari ila access ndio baraaa
Hahahah hizo gari zote nazopenda mie zina range humo humo kwenye 35-40M kwangu ni ndoto ambayo inatimizika kabisa! Siwezi kuzungumzia Roz Roisi kama sadala 😂😂😂
 
Back
Top Bottom