Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Okay ila iyo Tourage ni ya mwaka gani mzee baba ili nijue najichanga vipi mpaka kibubu kijae [emoji3][emoji3][emoji3]. Maana kila kukicha vyuma vipya vinaingia road .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio hapo baba ni design ya 2018 to present kibubu inatakiwa iwe inameza hela ndefu kwa siku!
 
Yeah kadri zinavyoongezeka unaanza kuizoea hela! Kipindi huna uwezo wa million ulikuwa unahisi ni kama fortune kuimiliki ila ukifika levels za 10M unaona tena 1M ni kama laki tu! Ukisogea ukafikia kwenye 100Ms unaona hizi za chini ni za kama buku buku hata kwa kumsimulia mtu anaona heee!
Ndivyo jinsi mambo yalivyo.. hahahaha!!
 
In short kama unatenga $20,000 unaendesha European car nzuri na latest sana. Tunakomaa na magari ya zamani bure tu. Ukijipangia malengo yako hushindwi
Vile spare parts zilivyoshiba bei na zilivyo serious kupatikana!👇
AABSll.jpg
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909


Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Gari hili ni zuri kama ulivyo sema but bei yake sio mkasi kiviile ukilinganisha na gari la size hiyo hiyo from Japan, size ya engine ya Touareg ni kama Prado kwa maana Toyota so nakutia moyo mkuu, you can make it bro.
 
Back
Top Bottom