Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Angalia wazungu wanaotokea nchi za Scandinavia alafu uwafananishe na wazungu wahuni wa marekani
Huko Scandinavia kwenyewe nchi Kama Sweden,Norway Toyota inauza kuliko wajerumani akina BMW,Benz,Audi.

Mjerumani aliyeuza kuliko Toyota huko Scandinavia ni VW tu,wajerumani wote waliobaki ni mwendo wa kipigo tu.

Cheki records za 2020

Screenshot_20210706-102619.jpg


IMG_20210706_100454.jpg
 
Msishau kodi imeongezwa kwenye Mafuta...
 
Nilikuwa sijui hicho kitu aisee....
Toyota ni top sellers in US? Kwa Magari gani ambayo ameuza Hadi kufikia hivyo,
Ila sishangai Kwa USA kuuza Magari mengi kwasabb hawa jamaa ni choka mbaya Tu Kwa asilimia kubwa
Kuna Toyota specifically made for USA market ambazo sio kama zile unaziona beforward kama Avalon, Siena, sequoia, Tundra, Corolla nk.
 
Yeah ila kwa mkaburu documents sindio inakuwaga miyeyusho
Kuna option 2 ,nunua kwa dealer zile pre-owned bila VAT ambayo ni 15%, option ya pili accident/damaged cars kwenye auction ambako gari ya 2018-2020 unaweza pata kwa 15-25 m max. Unalitengeneza na kusepa nalo. Hizi zote unauziwa na documents original,naona kama japan bei iko juu zaidi .
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909


Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Nakupongeza kwa kuwaza tofauti na kua Unique sio kila mtu Toyota..hua nnashangaa kijana wa leo unapata Fedha ya kununua gar unaenda unanunua Toyota😄😄😄
 
Huko Scandinavia kwenyewe nchi Kama Sweden,Norway Toyota inauza kuliko wajerumani akina BMW,Benz,Audi.

Mjerumani aliyeuza kuliko Toyota huko Scandinavia ni VW tu,wajerumani wote waliobaki ni mwendo wa kipigo tu.

Cheki records za 2020

View attachment 1843006

View attachment 1843007
Nimekubali Mkuu hasa Kwenye Toyota....
Kumbe Volkswagen ni trusted brand duniani kote
 
Back
Top Bottom