Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Wagawa magari mbona wapo wengi sana kama kina Extrovert ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Beetle Ile ya old skuli Bei ni haifai(kubwa) hivi vi Beetle vya siku hizi(mayai mayai) naona Bei yake kawaida.

All the best man.
 
Beetle Ile ya old skuli Bei ni haifai(kubwa) hivi vi Beetle vya siku hizi(mayai mayai) naona Bei yake kawaida.

All the best man.
Jamaa kanikazia sana, ni cha zamani ila naona walikuwa wamekapaki tu, bado ipo na hali nzuri sana, na kuna siku aliniachia nikatumie.. juzi tu nime mkumbusha anaruka ruka ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. ila sitochoka ipo siku atanasa tu
 
Wagawa magari mbona wapo wengi sana kama kina Extrovert ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ahaaaaa hakunaga cha bure dunia hii.

Aiseee kazi ya moyo ni kutamani achana na kusukuma damu. Jana kazini nkaona ford everest imepaki sasa mimi navyopenda vikubwa moyo ulifanya paah.๐Ÿ˜กnikasema ipo siku๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ki Golf kizuri sana

Eeh mtaaan hawajui magari asee

Nilishuka kwenye hiyo BMW X6 la kuomba, mijinga inapita getin nasikia " ona harrier hiyo tako la nyani" kidogo nitapike[emoji36]
Hahahahahah ulifanya road test kidogo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ila umepagawa nalo balaa!
 
Ahaaaaa hakunaga cha bure dunia hii.

Aiseee kazi ya moyo ni kutamani achana na kusukuma damu. Jana kazini nkaona ford everest imepaki sasa mimi navyopenda vikubwa moyo ulifanya paah.๐Ÿ˜กnikasema ipo siku๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nimegundua madem wengi wanapenda SUVโ€™s kuliko tugari twa chini tule!๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Jamaa kanikazia sana, ni cha zamani ila naona walikuwa wamekapaki tu, bado ipo na hali nzuri sana, na kuna siku aliniachia nikatumie.. juzi tu nime mkumbusha anaruka ruka ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. ila sitochoka ipo siku atanasa tu
Daah kale kanauzwa pesa mingi aisee,kitu air cooled engine mzee baba.

Ukikapata nishtue siku tukiwa na event yetu Ile ya vintage car huku chuga nitakualika.

Enjoy.
 
Ahaaaaa hakunaga cha bure dunia hii.

Aiseee kazi ya moyo ni kutamani achana na kusukuma damu. Jana kazini nkaona ford everest imepaki sasa mimi navyopenda vikubwa moyo ulifanya paah.๐Ÿ˜กnikasema ipo siku๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ vya bure havipo ukweli, cha kwanza lazima uwe na product mfanye exchange. Ni kweli ipo siku yako tu mkuu utapata, hata mmbuyu ulianza kama majani
 
Hahahahahah ulifanya road test kidogo [emoji28][emoji28][emoji28] ila umepagawa nalo balaa!
Mkuu acha kabisa..

Ujue nyie ( wewe na holy) mnalionaga tu hamjawahi kuingia ndani na kulitekenya (kuwasha), ukafungua music [emoji134][emoji134]

Gari lile ni ndege ya ardhini, kitu kimetulia barabarani, sterling laini soft kama ngozi ya Zari

Aah acha nitafute hela asee, yule mzungu anaenjoy asee na huu mchuma[emoji848]
 
Waaminifu mbona wapo wengi mkuu, ukiona kuna giza ujue na kuna nuru ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. sema Mungu anakupa wa kufanana nae sasa
Hahahahah unanifunga mota nisije nikawa chizi mzee ๐Ÿ˜… unampa demu funguo kisha anakusaliti baada ya mwezi! Smart911 ana uzoefu wa vibinti vya mjini akina Mahondaw๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ baada ya kugawa zawadi za maua ya pesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ