Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Wagawa magari mbona wapo wengi sana kama kina Extrovert 😀😀😀Usijiongeleshe hapa kama mzaha. Ahadi ni den😂Haya mambo nimechoka kuyaona kwenye movie.
hivi hapa tz kuna wanaume besdei wanatoa hii zawadi?
Note: simaanishi wale wasanii wanaoende showroom kukodi za kuonesha mbele ya camera asubuhi zinarudishwa.
Namaanisha real men wapo hapa bongo?