Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Ukinishinda, chagua hotel yoyote ukapumzike na mpenzi wako. Siku mbili madereva tutalipa [emoji846][emoji846]
Niko zangu baharini ndani ya ghuba...yaan ni mnanichekesha kinoma asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji23]

Yaan nimecheka huu uzi hadi basi[emoji16]

We muunguza tairi huo ununda mi sijawahi kuufikia[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Mie nitaletewa kijiweni tu na mie naiweka pembeni ya wana pale πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahahaha kijiwe kina mikwaju ya hatari πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nuff respekt! Unaweza kushangaa raia wanacheza na ndoto yako pale kijiweni like nobodys business!
 
Eeh anaweza asiamini ambacho anakiona machoni mwake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akaishia kusoma quad rings! Kwa mbali
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ uzuri kale ka kipande humos zake tamu, hamba cha kupunguza speed yaani ku fyeka tu hadi pale mwenge, ikimpendeza tunakula kulia kuitafuta kijazi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Si ndio unajifunza πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, kila kitu mazoe na kujifunza mwisho wa siku unakuwa master
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ uzuri kale ka kipande humos zake tamu, hamba cha kupunguza speed yaani ku fyeka tu hadi pale mwenge, ikimpendeza tunakula kulia kuitafuta kijazi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Eeh wamezisawazisha now ni speed mshale tu unainama naz na kuinuka nazo haina kupoa
 
Mmmmh we naona unalazimisha kurudisha jezi, na Sir God hataki...sasa we endelea kumdip[emoji16][emoji16]
Kawaida tu mkuu.. Mungu anatupenda na yupo kutulinda.. moyo wangu mweupe sana sina majanga na watu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hapo watu wangekuwa wanalalamikia maisha yangu vingeumana tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…