witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Haha haa kumbe ni mambo ya Jason na wrath a man[emoji16]Jason atawaua machalii aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha haa kumbe ni mambo ya Jason na wrath a man[emoji16]Jason atawaua machalii aisee.
[emoji16][emoji16]litanifyatukia sioHilo Jiko la gesi [emoji28][emoji28][emoji28] usiombe kukutwa na bwana pepsi!
Basi mi naziona zote mle mle...what's so special on majesta?Hizo Athlete na Royal. Majesta ni Baba Lao familia ya Crown.
Lucky you. Sisi tulikulia Zama za gari manual, ukileta auto watu hawaitaki kabisa wanasema mbovu.Aise mkuu kwa miaka hiyo wengine tulibahatika kuwa utingo wa fuso na madereva wake unawajua walivyo watata unakosaje kujua 😂 😂
Duh Majesta full loaded hata Sura na shape hazifanani na Royal or AthleteBasi mi naziona zote mle mle...what's so special on majesta?
Gusa unase hio😀😀😀😀 ka Quattro kalimpa moto zaidi, kalichangia kuchoche hali ya uasi
Majesta ya 2004 ushuru wa TRA+gharama za bandarini sio chini ya Tsh. Mil 11.Sasa kwani mkuu ni bei gani?...zinarange humo 16-17m..
Au unasema toleo la jana?[emoji848]
Kabisa! Mimi moja ya malengo ninayotakiwa kutimiza kabla sijaondoka duniani ni kumiliki prado!Muelekeze aisee, Prado sio gari ya kuichukulia kitoto [emoji28]
Hapo ni kina kirefu hapaingiliki kirahisi labda uwe fisadi papa[emoji23]
😄😄😄 Hebu ongeza volume kidogo mkuu.Basi mi naziona zote mle mle...what's so special on majesta?
Prado is for someone who can not afford a proper Land Cruiser!😂😂Kabisa! Mimi moja ya malengo ninayotakiwa kutimiza kabla sijaondoka duniani ni kumiliki prado!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea Kama utani lkn Kuna ukweli mwingi sana.Prado is for someone who can not afford a proper Land Cruiser!😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu prado za sasa hivi hazitofautiani sana na landcruiser nyinginePrado is for someone who can not afford a proper Land Cruiser![emoji23][emoji23]
Kitu pekee napenda hio gari ni ule mluzi wake wa turbo diesel engine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu prado za sasa hivi hazitofautiani sana na landcruiser nyingine
Duuh CIF inarange kwenye $ 4700 =Tsh 10.9mMajesta ya 2004 ushuru wa TRA+gharama za bandarini sio chini ya Tsh. Mil 11.
So hapo inabaki mil 5 mpk 6,yaani unamanisha CIF ya majesta iwe Ina range kwny $2100 to $2500?
Nakucheki tu Nasema hiiiiiiiiiiiii-Magu,Hahah.
Kuna Porsche Boxter nayo ni kwa wale wasiomudu Porsche 911Umeongea Kama utani lkn Kuna ukweli mwingi sana.
Mmh...kweli kila mtu na chaguo lake[emoji848]Kabisa! Mimi moja ya malengo ninayotakiwa kutimiza kabla sijaondoka duniani ni kumiliki prado!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Majesta wanapambana na SUV duuh[emoji848][emoji848][emoji1][emoji1][emoji1] Hebu ongeza volume kidogo mkuu.