Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Hahah umenikumbusha Pajero V6 3.5 Yale ma old skuli ya enzi hizo, Kuna mwana walikua nalo kwao,ilikua na air suspension aisee Ile Gari ilikuaga inanesa kishenzi,yaani hata ikisimama kwny mataa road mneso wake huko nyuma sio wa mchezo.,lilivyokufaga air suspension likapakiwa mazima enzi hizo.

Mchizi kalifufua mwaka juzi,kaweka suspension za KYB.
Hata subaru zinanesa 🙂🙂
 
Kwny LR3 air suspension zake zilichoka bei yake ya ku replace ilikua balaa ikabidi tu kununua coil conversion kit.

Sijajua kwny majesta gharama zake zikoje air suspension zikichoka.

Ila kwa ule mneso wa air suspension gharama zake it's worth it.
Kwa watu wa matukio kama kina Extrovert ndio mahala pake hizo air susp 🙂🙂
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909


Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Gari nzuri, inao uwezo wa kutosha na ila gharama kwenye spare parts na inajua kubugia mafuta hasa! Si kama gari za kijapani tulizozizoea wengi wetu. Ila ukiwa nayo kama utazimudu gharama ni gari nzuri sana!
 
Back
Top Bottom