Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Ila ukiwa nayo una enjoy, tena hali ya kujiamini inaongezeka, si unajua unakuwa unique zaidi, halafu AC zake haziko strong sana sababu labda zinatokea kwenye nchi zenye baridi sana
Kweli bob, ac ya toyota bana unaganda kabisa hata iwe ya corrolla 110 namba A ila ac yake full Mufindi😅😅😅!

VW Ukichomoza nayo hata ku sign deal unaheshimika!
 
Huyo ananizingua najua ...unajipa moyo vitu ambavyo haviwezekani[emoji848]

Hata ukisave hiyo 50M lazima ubadilishe gia angani[emoji16]

Kununua gari expensive inahitaji moyo wa chuma coz kunahitajika hela yote tena cash sio kama nyumba unadunduliza
Nenda dealership utaweza kununua kwa monthly payment plan. CFAO Motors wana huo utaratibu.
 
Back
Top Bottom