Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Hata subaru zinanesa πŸ™‚πŸ™‚
 
Kwny LR3 air suspension zake zilichoka bei yake ya ku replace ilikua balaa ikabidi tu kununua coil conversion kit.

Sijajua kwny majesta gharama zake zikoje air suspension zikichoka.

Ila kwa ule mneso wa air suspension gharama zake it's worth it.
Kwa watu wa matukio kama kina Extrovert ndio mahala pake hizo air susp πŸ™‚πŸ™‚
 
Gari nzuri, inao uwezo wa kutosha na ila gharama kwenye spare parts na inajua kubugia mafuta hasa! Si kama gari za kijapani tulizozizoea wengi wetu. Ila ukiwa nayo kama utazimudu gharama ni gari nzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…