jimmykb197
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 485
- 482
Kaka hizi vyombo siyo vya mchezo mchezo, kuna hiyo super vann ipo simple tu tena ni 4 cylinders, ila inakula mafuta kuliko Pajero V6! Lakini ina uwezo wa ajabu hata hizo v6 hazikamati. Zote hizo nilizokitajia zinatumia diesel na zina turbo chargeNaskia ile ya diesel haili sana wese
Duh balaa sanaKaka hizi vyombo siyo vya mchezo mchezo, kuna hiyo super vann ipo simple tu tena ni 4 cylinders, ila inakula mafuta kuliko Pajero V6! Lakini ina uwezo wa ajabu hata hizo v6 hazikamati. Zote hizo nilizokitajia zinatumia diesel na zina turbo charge
Ila ukiwa nayo una enjoy, tena hali ya kujiamini inaongezeka, si unajua unakuwa unique zaidi, halafu AC zake haziko strong sana sababu labda zinatokea kwenye nchi zenye baridi sanaDuh balaa sana
Kweli bob, ac ya toyota bana unaganda kabisa hata iwe ya corrolla 110 namba A ila ac yake full Mufindiπ π π !Ila ukiwa nayo una enjoy, tena hali ya kujiamini inaongezeka, si unajua unakuwa unique zaidi, halafu AC zake haziko strong sana sababu labda zinatokea kwenye nchi zenye baridi sana
Sure thingKweli bob, ac ya toyota bana unaganda kabisa hata iwe ya corrolla 110 namba A ila ac yake full Mufindi[emoji28][emoji28][emoji28]!
Ukichomoza nayo hata ku sign deal unaheshimika!
Usiguse gari zao za diesel ni pasua kichwa,komaa na petrol tu.Naskia ile ya diesel haili sana wese
Nenda dealership utaweza kununua kwa monthly payment plan. CFAO Motors wana huo utaratibu.Huyo ananizingua najua ...unajipa moyo vitu ambavyo haviwezekani[emoji848]
Hata ukisave hiyo 50M lazima ubadilishe gia angani[emoji16]
Kununua gari expensive inahitaji moyo wa chuma coz kunahitajika hela yote tena cash sio kama nyumba unadunduliza
Boss, unaweza kuning'iniza funguo kwa nia ya kuepuka kuuangusha pale unapokaa. Ila siye wabongo ndiyo tunaona kwamba mtu anajidai.Hahahah kuningβiniza funguo naonaga kama utoto! Gari ni kitu basic siku hizi sio lazma utafute identity kwa kuningβiniza funguo ku approve kuwa unalo!
Hapo kitu cha RS6 kinakuhusuTunachoka tu, tushapiga ligi nyingi.. tumeona uwezo wetu.. nasubiri siku nikivuta kitu cha 600HP nifanye ligi ya mwisho kama atatokea mtu wa kufukuzana nae.. ila kwa vigari ambavyo ninavyo sasa hivi hapanaπππ
Chukua E63, husiwe na mshindani barabaraniHii naonga mzee baba, makakti wangu unajua mzee kuvuta chuma matata sana E350 AMG mwakani Audi A7 Sportback au BMW M series hasa M5.. Hiyo mwakani lakini but kwa mwaka huu E350 AMG lazima iingie magetoni mitaa ya chalinze pale kati kati ππ
Hii uta create a lot of attention. Kuna vyuma vya kibabe ambavyo vinaonekana kama gari za kawaida- Hapa naongelea hizi wagons: RS6, E63, V60 Polestar n.k.Miaka ya mbeleni hata huyu nitamweka kwa parking bila shaka πππ
View attachment 1844675
Elezea kwanini?Usiguse gari zao za diesel ni pasua kichwa,komaa na petrol tu.
Ni kweli kama hii RS6 ni chuma sana hiyo gari. Mtu hata akiona road anaona kama kagari ka kawaida ila ukigusa tu unanata πππHii uta create a lot of attention. Kuna vyuma vya kibabe ambavyo vinaonekana kama gari za kawaida- Hapa naongelea hizi wagons: RS6, E63, V60 Polestar n.k.
Huku nitafika mkuu, kwa sasa budget yangu imelenga zaidi E350 AMG hapo mbeleni mwakani, lazima nivute chuma ya kibabe sanaaChukua E63, husiwe na mshindani barabarani
RS6 ilivyo kwa mtu asie jua, hata Brevis unaweza shangaa anataka akukalishe , ipo simple sanaHapo kitu cha RS6 kinakuhusu
Huu utaratibu mzuri, niliona hata CMC pia walikuwa naoNenda dealership utaweza kununua kwa monthly payment plan. CFAO Motors wana huo utaratibu.
Kabisa, unaweza kuendesha gari za 0km kwa utaratibu huoHuu utaratibu mzuri, niliona hata CMC pia walikuwa nao