Sasa nyie mkisema hela hamna sie mabaharia itakuwaje aisee! Mtoto mzuri unalia hela amna dah ni huzuni πππAaah wapi....kuuza damu nimo, figo, yaan hata wewe ukibugi nakuuza, cha maana chapaa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jokes aside hela hamna haki tena sijui ni hii wave tatu
Mtu mzito wewe, mpe sehemu nzuri witnessj nae achimbe pesa pesaaaAhahaha aje muelekeo wa Burundi huku π π π
Hakuna kitu kama hicho ππWanadai iko nchini ila mie sielewi elewi sijui iko upande gani
Aachie tena? Kwanza hazipoWave ya tatu ya wapi tena jamani, mbona sie huku madongo kuinama hatuna hizo taarifa [emoji3][emoji3][emoji3].. mama si kaachia lakini
Kariakoo, imeisha zalisha maskini wengine, wanaokuja mtaani kusugua gaga, na wagonjwa wa BP..Aachie tena? Kwanza hazipo
Na kariakoo imeungua imetibua kila kitu[emoji848]
Haa haa haa...mtoto mzuri tena ukijiachia unatupiwa wadudu wanaonyenvua nyevua[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787]Sasa nyie mkisema hela hamna sie mabaharia itakuwaje aisee! Mtoto mzuri unalia hela amna dah ni huzuni [emoji18][emoji18][emoji18]
Hahaha subiri ubanwe mbavuu, ndo utajua hujui[emoji16]Wanadai iko nchini ila mie sielewi elewi sijui iko upande gani
Na vibakaaa daah! HatariKariakoo, imeisha zalisha maskini wengine, wanaokuja mtaani kusugua gaga, na wagonjwa wa BP..
Vibaka tuna shughulika nao vizuri ππNa vibakaaa daah! Hatari
Hahahahah hutak zikosa π nyota za kiholanziHaa haa haa...mtoto mzuri tena ukijiachia unatupiwa wadudu wanaonyenvua nyevua[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787]
Acha tukomae na jasho letu kama bado tunataka kuishi, Heineken tamuuu[emoji39][emoji39]
Wadudu wa kunyevusha ndio wadudu gani ? Watu wa dar es salaam mna misemo mingi, ambayo inatuacha wa mikoani hoi kabisaHaa haa haa...mtoto mzuri tena ukijiachia unatupiwa wadudu wanaonyenvua nyevua[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787]
Acha tukomae na jasho letu kama bado tunataka kuishi, Heineken tamuuu[emoji39][emoji39]
Noma sana best..mji mchafu sana huuHahahahah hutak zikosa [emoji28] nyota za kiholanzi