Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

VW ni gari ambazo ni cheap to own and maintain kulinganisha na most of EU brands.

Ukishindwa VW basi hutaweza gari zote za EU.

Na pia ni cheap to buy. Unapata specs kubwa kwa hela ndogo.
Mkuu umezungumzia general sana hizi series za VW golf 8 mpaka 10, R series au twende kwenye Polo mbona ni gari ghari kidogo...
 
Mkuu hizo gari ni za kibabe hiyo Audi kuanzia Q 5 iliyo 2.0TD ikiwa kwenye mwendo inashika bara bara balaa ipo moja nilimletea jamaa mmoja Chuga aisee ni gari..hiyo porsche ndio chaguo langu sema miaka ya karibuni bei zake zimechangamka mno na road inanasa kama sumaku...
Q5 ni chaguo langu kwa audi imesimama sana yani 😂😂😂
 
Mkuu hizo gari ni za kibabe hiyo Audi kuanzia Q 5 iliyo 2.0TD ikiwa kwenye mwendo inashika bara bara balaa ipo moja nilimletea jamaa mmoja Chuga aisee ni gari..hiyo porsche ndio chaguo langu sema miaka ya karibuni bei zake zimechangamka mno na road inanasa kama sumaku...
Porsche baba lao.

Nazipenda sana Porsche kuliko all German Cars. Their build quality is top notch.

Inafuata BMW na Merc Benz. Audi is not in my preference.

Tuongeze juhudi za kutafuta hela.
 
Porsche baba lao.

Nazipenda sana Porsche kuliko all German Cars. Their build quality is top notch.

Inafuata BMW na Merc Benz. Audi is not in my preference.

Tuongeze juhudi za kutafuta hela.
Porsche ni baba lao kweli hivi ya kuanzia 2012 kodi yake ipoje za miaka hiyo mpaka 2014 bei zake sio mbaya huko nje sijui Mama kodi yake ngapi anataka hapo...Cayenne nazikubali mno
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909

Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Toyota fielder huitaki tena?
 
Hahahah wahuni mpo intact! Ungekuwa karibu ningekununulia guiness baridi usuuze koo!
Fielder gari ya family mzee hii nazungumzia baada ya kuwa na surplus income VW ni moja ya dream nikishindwa basi Q8 itahusika
Q8 ni more expensive kuliko VW Touareg so huwezi shindwa kununua VW ukaweza afford kununua Q8. Ushuru wa Audi unaweza dhani TRA wameweka kwa ajili ya kutukomoa.
 
AIAevo.jpg
 
Back
Top Bottom