Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu umezungumzia general sana hizi series za VW golf 8 mpaka 10, R series au twende kwenye Polo mbona ni gari ghari kidogo...VW ni gari ambazo ni cheap to own and maintain kulinganisha na most of EU brands.
Ukishindwa VW basi hutaweza gari zote za EU.
Na pia ni cheap to buy. Unapata specs kubwa kwa hela ndogo.
Tatizo ni umri mzee tunanunua vitu chakavu mno kutokana na kodiKwahio tatizo ni kwamba hatununui zikiwa mpya kabisa!
Q5 ni chaguo langu kwa audi imesimama sana yani πππMkuu hizo gari ni za kibabe hiyo Audi kuanzia Q 5 iliyo 2.0TD ikiwa kwenye mwendo inashika bara bara balaa ipo moja nilimletea jamaa mmoja Chuga aisee ni gari..hiyo porsche ndio chaguo langu sema miaka ya karibuni bei zake zimechangamka mno na road inanasa kama sumaku...
Porsche baba lao.Mkuu hizo gari ni za kibabe hiyo Audi kuanzia Q 5 iliyo 2.0TD ikiwa kwenye mwendo inashika bara bara balaa ipo moja nilimletea jamaa mmoja Chuga aisee ni gari..hiyo porsche ndio chaguo langu sema miaka ya karibuni bei zake zimechangamka mno na road inanasa kama sumaku...
Daaah huyo kweli nunda khaa
So ningeingia nae ligi kumbe ningekufa[emoji22][emoji134]
[emoji1787][emoji1787]Au ingekufa gari [emoji23][emoji23][emoji23]
Porsche ni baba lao kweli hivi ya kuanzia 2012 kodi yake ipoje za miaka hiyo mpaka 2014 bei zake sio mbaya huko nje sijui Mama kodi yake ngapi anataka hapo...Cayenne nazikubali mnoPorsche baba lao.
Nazipenda sana Porsche kuliko all German Cars. Their build quality is top notch.
Inafuata BMW na Merc Benz. Audi is not in my preference.
Tuongeze juhudi za kutafuta hela.
Tax arround $38K. Hii ya 2014.Porsche ni baba lao kweli hivi ya kuanzia 2012 kodi yake ipoje za miaka hiyo mpaka 2014 bei zake sio mbaya huko nje sijui Mama kodi yake ngapi anataka hapo...Cayenne nazikubali mno
Sawa sawa naona manunuzi ni pungufu ya hapo naziona SA kuanzia 50 mpaka Tsh 60M unapata iliyo safi kabisaTax arround $38K. Hii ya 2014.
Cayenne ya 2014 unapata kwa 60M? Serious?Sawa sawa naona manunuzi ni pungufu ya hapo naziona SA kuanzia 50 mpaka Tsh 60M unapata iliyo safi kabisa
Toyota fielder huitaki tena?Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!
View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909
Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Hahahah wahuni mpo intact! Ungekuwa karibu ningekununulia guiness baridi usuuze koo!Toyota fielder huitaki tena?
Q8 ni more expensive kuliko VW Touareg so huwezi shindwa kununua VW ukaweza afford kununua Q8. Ushuru wa Audi unaweza dhani TRA wameweka kwa ajili ya kutukomoa.Hahahah wahuni mpo intact! Ungekuwa karibu ningekununulia guiness baridi usuuze koo!
Fielder gari ya family mzee hii nazungumzia baada ya kuwa na surplus income VW ni moja ya dream nikishindwa basi Q8 itahusika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787],tazama hapa ushuru wa Q7 toleo la kwanza 2004-2005 ushangazwe [emoji1787][emoji1787].Kama TRA ndio wanamiliki kiwanda hicho?![emoji28][emoji28][emoji28]
Na bdo unadaiwa na kodtek music systemHahahah wahuni mpo intact! Ungekuwa karibu ningekununulia guiness baridi usuuze koo!
Fielder gari ya family mzee hii nazungumzia baada ya kuwa na surplus income VW ni moja ya dream nikishindwa basi Q8 itahusika
hii unaingia nayo hadi kijijini, maana ipo juu kama SUV
Hii gari nimeeiendesha leo kwa kufanyie testing, tutafute pesa tuuVW Scirocco View attachment 1851444
Jana nimeiona mitaa ya ITV kwenye foleni ya kwenda Mwenge. Chombo bado ipo na chasis number watu wanaitoa mafuaHii gari nimeeiendesha leo kwa kufanyie testing, tutafute pesa tuu