Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Habari za kazi wakuu. Kuna mtu humu ndani ana real experience ya VW tiguan. Nataka nijue mtazamo wake interms of reliability (frequency ya kuharibika), comfortability, fuel consumption, road stability yake kwene long trips and maintenance costs.

Nataka nichukue VW Tiguan LEISTUNG ya 2011.

 
nimescreenshot kwa matumizi ya baadae, shukran mkuu..
 

Chuma imetulia sana
 
Nimesoma karibu post zote ila sijaona mtu aliejadili hii gari kwa undani, naona ngonjera tu.
Kwa undani ili iweje Mkuu badilikeni mkipenda kitu nunua tuu hiyo ni gari sio Moyo huo..Nenda Malawi tuu hapo uone vyuma wanavyokimbiza kwa kuwa hakuna mambo ya kuulizana wala kutishana gari mtu akiipenda anaagiza tu maisha yanaenda sasa Bongo mtu pesa anayo anatumia mwaka mzima kuulizia tuu...na gari zenyewe tunanunua za 2010 kurudi nyuma itaacha kuwa mbovu
 
Kuna Toureg R50, Ni high performace version ya Toureg. Sema engine yake ni diesel ila ni 5.0L V10. Ina balaa.

Na yenyewe ni Performance car kama zilivyo Golf R n.k.

Inakuwa na Maandisho yameandikwa R50 kwenye front Grille na kule nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…