Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Ewaaaaa mule mule...

Kwenye kunesa nesa Body la Nissan ndio mwenyewe,

Prado sijawahi kuendesha lkn wamiliki naona wanalalamika kuwa ukiwa kwenye mwendo mkali ni utafikiri unasukumwa na kitu kwa nyuma full kuweweseka, na ndio maana wanapiga ngwala sana! Sijui ni hizo suspensions
Siyo kwa prado hizi za kuanzia 2019 kuja juu aisee
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909

Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
vp kuhusu nissan terrano na mistubish outlander
 
Mimi siwezi kununua kigari cha chini chenye cc kubwa namna hiyo!

Ukubwa huo wa injini alafu hata kijijini kwenu unaenda kwa mawazo?
Kijijini mbali humu humu town, kuna mahala lazima upige mahesabu sana kuingia na hizi gari za chini, ila tumezipenda tu. Majesta zina option ya kuongeza kimo mkuu na kupunguza
 
Kijijini mbali humu humu town, kuna mahala lazima upige mahesabu sana kuingia na hizi gari za chini, ila tumezipenda tu. Majesta zina option ya kuongeza kimo mkuu na kupunguza
Majesta ndo linaburuza kabisa ardhini...asee rafiki yangu anapata sana shida kwenye bums, kata Kona nyingi shoto kulia kukwepa mgongo wa bums kama anaendesha scania vile[emoji848][emoji848]...sasa mateso yote ya nini? Angeongezea 10m kwenye hiyo 16m yake akuchukua kubwa
 
Terrano kali ni ile box ya 1995 na ile new model yake nafikiri ya mwisho 2000 ile! Kale kalikofata ni kamekaa kijinga jinga sana!

Mitsubishi Outlander tuko pamoja mzee hasa ukiikuta imeoga kweli kweli 20” mguuni!
20 mguuni unamaanisha 20m mkononi?
 
Majesta ndo linaburuza kabisa ardhini...asee rafiki yangu anapata sana shida kwenye bums, kata Kona nyingi shoto kulia kukwepa mgongo wa bums kama anaendesha scania vile[emoji848][emoji848]...sasa mateso yote ya nini? Angeongezea 10m kwenye hiyo 16m yake akuchukua kubwa
Majesta unaipakazia hiyo itakuwa ni Crown Athelete. Majesta nyingi nimeona zina option ya kuzinyanyua mkuu ( unaongeza kimo ) inapanda juu.. ila Athlete na Royal yanatembelea tumbo sana 😀😀😀
 
Majesta unaipakazia hiyo itakuwa ni Crown Athelete. Majesta nyingi nimeona zina option ya kuzinyanyua mkuu ( unaongeza kimo ) inapanda juu.. ila Athlete na Royal yanatembelea tumbo sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu si ndo hii....full kuburuza bana

Mbona unaitetea sana au ndo unamiliki[emoji16]
Screenshot_20210707-165915~2.jpg
 
Back
Top Bottom