Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Siyo kwa prado hizi za kuanzia 2019 kuja juu aiseeEwaaaaa mule mule...
Kwenye kunesa nesa Body la Nissan ndio mwenyewe,
Prado sijawahi kuendesha lkn wamiliki naona wanalalamika kuwa ukiwa kwenye mwendo mkali ni utafikiri unasukumwa na kitu kwa nyuma full kuweweseka, na ndio maana wanapiga ngwala sana! Sijui ni hizo suspensions