Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

[emoji3][emoji3][emoji3] hii unanikumbusha majuzi, nilikuta kuna Crown, Brevis na IST zichuana hatari, mie nikawa nawafukuza kimya kimya nilikuwa na enjoy kuona ligi yao sikuruhusu waniache, nikawa najiuliza ile IST ina nini , kalikuwa na nguvu ya jabu sana, badae na mie nikaungaaa, kama kawa nikaweka sport mode, chap nimewakata, nikahakikisha hawanioni na siwaoni ndio nikarudi kwenye mwendo wa kawaida yule mwenye Brevi tokea pale akawaacha wenzake nae akawa nyuma yangu hakuta nipita tena, hadi nimefika kwenye point yangu ta mwisho ndio akaendelea zake nae ... hakuamini nilivyo chana wimbi naona
Mmmmh[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Chukua chombo, VW wapo serious na kazi zao mkuu, mafundi wapo, spare zipo na kama utaichua kwenye hali nzuri kazi yako inakuwa ni services tu mkuu, na kama pia utakuwa mtunzaji, kwenye matuta ibembeleze kwenye barabara za lasta na mbaya siziwe rafiki yako sana.. hapo utazifurahi hizo gari mkuu wangu.
Shukrani sana mkuu
 
Don't judge a book by its cover...hujui kwenye bonnet wameficha nini...😂
Kwa nje unaweza hisi normal, kumbw ndani wamefanya vitu 😀😀
Screenshot_20210707-202926_Instagram.jpg
 
Majesta ndo linaburuza kabisa ardhini...asee rafiki yangu anapata sana shida kwenye bums, kata Kona nyingi shoto kulia kukwepa mgongo wa bums kama anaendesha scania vile[emoji848][emoji848]...sasa mateso yote ya nini? Angeongezea 10m kwenye hiyo 16m yake akuchukua kubwa
Majesta ya mil 16 inapatikania wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom