Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #841
Kia gani huyu? Telluride ama? Picha hazifunguki zoteIpo siku nitakuwa humu ndani ya mkorea.
View attachment 1845573View attachment 1845574View attachment 1845575
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kia gani huyu? Telluride ama? Picha hazifunguki zoteIpo siku nitakuwa humu ndani ya mkorea.
View attachment 1845573View attachment 1845574View attachment 1845575
Inawezekana, maana mie mwenye nili kahusudu 😀😀Au huenda ni ka TRD kale
Mkuu nimekaa sana paleKama kulikuwa na mabadiliko ya ratiba mngetutangazia😀😀😀nimekaa hapa mbuyuni toka alfajir wakati gari zinawasha headlights mpaka muda huu sijaona ile starlet wala gari yako kwenye dragrace mliyotuahidi🤣🤣🤣
Huenda kuna mmoja alikimbia kama Yanga😅Kama kulikuwa na mabadiliko ya ratiba mngetutangazia😀😀😀nimekaa hapa mbuyuni toka alfajir wakati gari zinawasha headlights mpaka muda huu sijaona ile starlet wala gari yako kwenye dragrace mliyotuahidi🤣🤣🤣
Hahahahahah wote mmeogopana hili pambano limeisha na TIE! Inaabidi Tie ivunjwe maana mmetishana sana kama Bavicha wanavomtishia mama halafu eneo la tukio hamujaonekana😅😅😅RRONDO nae amekataa.. huenda mshindani ana siraha ya maangamizi.. japo leo nilijitolea kumsikilia , ila naona kala kona
Ha ha ha Pick up truck hio mkuuPale mjapani alicheza. Kwanza ziko strong na pia zina nguvu alafu njiani zinatembea balaa. Yani uhakika wa safari upo
Na Kule haziitwi majesta, ni Lexus GS nadhaniLabda uvute zile versions za America or Europe ndo zinakwenda zaidi ya 180
Mwenyeji Sana....mi nilitega pale chini ya pemaco bhevi kwenye ile yard ya bounded warehouse ili niwaone mkiwa mnatiririka kutokea hapo kwenye mataa😀😀😀😀😀😀😀.. nimekaa sana
Ndio natoka hapa mda huu, kama mwenyeji hii njia hapa unapajua nafikiri. Imebidi niondoke tu
mtongwe
View attachment 1845585
Nijuavyo Lexus ni brand tofauti na Toyota,ila pia Toyota zinazokwenda kule zinakuwa na visahani vikubwaNa Kule haziitwi majesta, ni Lexus GS nadhani
Kia Sorento chiefKia gani huyu? Telluride ama? Picha hazifunguki zote
Hii gari Kia wanauza kuliko uwezo wao kuzitengeneza,bahati mbaya ni kwa ajili ya soko la Marekani tu. Ingekuwa global car ningekuja kukaa humo miaka ya mbeleni.Kazi ya kia niliyoielewa ni hii hapa tu,
TELLURIDE
View attachment 1845592View attachment 1845597View attachment 1845599View attachment 1845600
Wameipatia katika kila kitu halafu ina Safety rating ya juu sana😀! Yani imeingia sokoni katika wakati husika na bei yake ni nzuri pia with enough features!Hii gari Kia wanauza kuliko uwezo wao kuzitengeneza,bahati mbaya ni kwa ajili ya soko la Marekani tu. Ingekuwa global car ningekuja kukaa humo miaka ya mbeleni.
Alteza---lexus ISNijuavyo Lexus ni brand tofauti na Toyota,ila pia Toyota zinazokwenda kule zinakuwa na visahani vikubwa
Power vs Economy.Ipi ni nzuri diesel au petrol
Mchanganyiko........nahitajika kuelimika zaidi,kwani nijuavyo Toyota ndo watengenezaji wa Lexus japo Lexus si Toyota na haziingiliani kwenye parts nyingi tuuAlteza---lexus IS
Crown-----Lexus Gs
Celsior-----Lexus LS
Harrier-----Lexus RX
1 ni premium version ya nyingine.
Mfano Lexus Sc430 parts zake za front suspension zinaingiliana na Crown majesta,rear suspension zinaingiliana na Grande mark 2(gx 110) na Kuna parts kibao za Toyota celsior zinaingiliana na Lexus sc430.Mchanganyiko........nahitajika kuelimika zaidi,kwani nijuavyo Toyota ndo watengenezaji wa Lexus japo Lexus si Toyota na haziingiliani kwenye parts nyingi tuu