Volkswagen vs BMW

Volkswagen vs BMW

Combination ya mafundi magumashi na wamiliki wasiojitambua ndio matokeo yake hayo. Gari ya maana utaipeleka chini ya mwembe?
Toureg nilishaendesha ya jamaa yangu ni gari nzuri na inatambaa kama mshale na ilitokea kuipenda mno lakini mafundi walinitisha kwamba itanitoa roho ndio maana unaona nauliza na kuichunguza sana
 
Well...kitu ninachokwambia usitegemee maintenance cost iwe kama toyota rav4...ina gharama yake ndio maana ukiendesha vw bmw unaheshimika
 
Sijui budget yako, na unataja nunua used Tanzania au unaagiza nje, na umepanga kutumia mjini au masafa ila izo gari zote ni nzuri sana, ingawa MIMI ningeenda BMW X5.

Kama umepanga kuspend between Mil 25-30 hivi BMW E53 ingefaa. Kuna wide range ya choice ya engine size hapa kuanzia 3.0L 4.4L 4.6 hadi 4.8L na zipo i6 hadi v8 na zaidi kuna diesel models, so wewe tu uchaguzi wako. Ni gari nzuri, ndio BMW X ya kwanza kabisa kabla ya hao X3, X6. Ilitengenzwa enzi zile BMW inawamiliki Land Rover so inashare some components with Range Rover HSE.

Ndani haina mbwembwe nyingi sababu ya uzamani but can be upgraded.

Kama budget kubwa zaidi basi E70 itakuhusu ingawa andaa hela kubwa above 40M. Nayo nzuri sana na zina technology ya xDrive kutoka BMW, unaweza bahatika ukapata X5M performance. Engine size ni sawa tu E53 ingawa zimeongezeka options za Twin Turbo.

Hizi F15 ni more advanced na bei zake zitakua mbaya zaidi kwakua ni very recently, 2014 ndio zimeanza kuingia sokoni so sizijui.

Sasa usichanganyikiwe na kujua aina ya BMW unayoinunua mkuu, hawa jamaa wana nomenclature yao kidogo inasumbua kichwa. Kwahiyo mfano ukiona kwenye BMW X5 ubavuni kwenye mlango wa mbele pana xDrive 30d iyo gari ni diesel, ina xdrive technology na engine size yake ni 3.0L. ukiona kuna herufi i hafu maybe 4 or 6 (i6 au i4) ujue cylinders zake ni straight inline, yaani izo cylinders zipo kwenye mpangilio wa mstari mnyoofu. hazijakaa V shaped. BMW zingine kama tulivosema zina V8 yaani cylinders zimekaa in V shaped, 4 zipo upande huu na 4 mwingune
Sijui kama nimesaidia but nimesema nnayoyajua ingawa nimemix sana
 
Hii shule ni nzuri sana tupige tena VW
 
Ngoja niende pound for pound.
Bmw X5 E53 2000-2006
3.0d diesel 3L engine nzuri kwa utumiaji mafuta ila haina kasi kama bmw inavyojulikana.
3.0I petrol 3L engine inakunywa wese kama hela ya mawazo haikufai.
Pia sio comfortable sana maanake bmw ziko more sporty.

VW Touareg 7L 2002-2008
2.5tdi diesel engine haina nguvu,haina speed. Inasumbua sana.
3.0V6 tdi diesel engine ina nguvu na speed ya ajabu unaweza usione tofauti na petrol engine. Inatumia mafuta vizuri.
3.2V6 petrol, hii ni beast...very powerful and fast ila inakunywa wese kama una hela ya mawazo haikufai. Very comfortable than X5.

Kitu muhimu...spares za vw touareg ni bei nafuu kuliko za bmw x5, availability ya spares zote zinapatikana kwa urahisi na nyingi.

Kwa ushauri wangu chukua VW Touareg 3.0Tdi.
mkuu nashukuru kwa.mchango wako
 
BMW ndo gari gani hiyo wakuu ?? Tunaomba mtupiamo basi na kapicha
 
Wadau mwenye ujuzi na Volkswagen -Tuareg V6 na BMW X5 atujuze kidogo

Tofauti kubwa ni BMW X5 ni premium zaidi na gharama zake ziko juu!
Pili X5 ni soft off-road yaani huwezi kwenda nayo Serengeti huko kwenye mahandaki na matope ni gari ya barabarani, wkt VW unaweza kuitumia kama off-roader kwa kiasi fulani lkn pia siyo kama Land Cruiser mkonga!
 
BMW ndo gari gani hiyo wakuu ?? Tunaomba mtupiamo basi na kapicha
1046bdefa7e47f418f59e795e492554f.jpg
dad69417234f7fbcf1fc5864b8b2c07a.jpg
e90ee6fb6eea915a13860a60b81cb378.jpg
4db4ff1005dbf03fa152b44d6de27f69.jpg
 
BMW ndo gari gani hiyo wakuu ?? Tunaomba mtupiamo basi na kapicha
BMW E53 Model ya kwanza kabisa, Mwaka 1999- 2006

64be791ab50841d0e8d11c22d92b8b2f.jpg

BMW E70 Model ya pili, Mwaka 2006- 2013

3edfaa84385fdce7d8afa31d3e9e881a.jpg

BMW F15 Model ya tatu, Mwaka 2013 hadi sasa.
acdfca9e25a76f3032a611d9ef04b8d8.jpg
 
BMW X5 E70 kuanzia 2007.....Hii tofauti yake na X6 ni BODY tu.
1200px-BMW_X5_%28E70%2C_Facelift%29_%E2%80%93_Frontansicht%2C_1._Mai_2012%2C_W%C3%BClfrath.jpg

BMW X5 E53 hizi ni X5 za mwanzoni 2000 mpaka 2005/6
b4318bas-960.jpg
 
I had the E39 facelift....now I'm torn between E60 and Merc W204!
Atleast una experience na Germans. Eti nilisoma somewhere walikua wanaongelea gharama za uendeshaji, service and Maintanance ya Audi, BM na MB wakasema Audi ndio gharama zaidi kwenye ishu ya utunzaji, Maintanance Na service, followed by BM na Benz ndio gharama ndogo.

Unaonaje mzee hapa kwa Model zinazofanana mfano A4, 3 series na C series.
 
Nafikiri hio ina apply Europe. Kwa hapa Tz Audi na VW ndio rahisi kuiendesha. Parts zake sio ghali sana. BMW ni ghali kuliko Mercedes kwa hapa Bongo na Volvo parts ndio most expensive, wingi wa magari unachangia kupunguza gharama kwasababu parts zinakuja kwa wingi, kwahio naweza kusema kwa gharama ziko mtindo huu
1.Volvo
2.BMW
3.Mercedes
4.VW/Audi
 
Back
Top Bottom