Nashkuru Kwa mchanganuo wako mkuuTu assume unataka SUV kati ya Volvo na ya BMW ila sio hiyo ulioweka picha ni X7 bado haijatoka.
Nashauri go for BMW kama pesa sio tatizo.
Kama unataka Gari kubwa nunua X5 kama unataka dogo dogo nunua X3.
X5 used utapata kuanzia Mil 30 hadi 50 kutokana na Model (mwaka iliotoka). Ingawa unaweza pata cheaper na expensive zaidi zipo. Me nimesema tu general.
X3 nayo hivo hivo.
Ila mzee kwa unachokitaka wewe hapo sijaona. Hizo gari zote nzuri. Kua specific kwenye Model ya gari na Mwaka unaotaka na CASH ulionayo.
Wasema volvo gari nzuri, volvo ipi? Bmw gari nzuri gari model ipi? Je walingabisha gari au kampuni? Cjakuelewa mkuu"Bila kupoteza muda wakuu niende moja Kwa moja kwenye Mada.
Volvo ni gari nzuri zinajulikana na imara pia na zinakubalika.
BMW pia ni gari nzuri classic na zenye ubora pia na zinafanya vzuri huko sokoni .View attachment 695555View attachment 695556
Naomba mnieleweshe kati Ya hizi ndinga mbili ipi inazidi ubora nyingine japo zote ziko njema.
Naomba tuzingatie vigezo hivi
 aina Ya mafuta itumikayo (petroli au
diesel)
 ulaji wa Mafuta
 ustahimilivu wa mazingira magumu.
 stability katika mwendo
Kaue bacteria ukializa jibu lako litakuwa mezani mkuuWakimaliza kukujibu Mkuu naomba nisaidie kuniulizia na Mimi kati ya Pikipiki za Matairi matatu Toyo na Gari zile ndogo za Kirikuu ipi ni imara kwa matumizi ya Kijijini na Minadani.
Mkuu mbabe wa syphilis mi nnachojua ni kwamba Brand za BMW na volvo ni za kuaminika ila sina deep details kujua models zake na gharama zake specifically ndo sababu nimeleta uzi huu kwenu mnichambulie Kwa kadri ya ufahamu wenu ili "nisijevamia gogo Kwa uelewa wangu mdogo"Wasema volvo gari nzuri, volvo ipi? Bmw gari nzuri gari model ipi? Je walingabisha gari au kampuni? Cjakuelewa mkuu
hahahaha kiriku iko vizur mijini, ila toyo kwa kijijini ni njemaWakimaliza kukujibu Mkuu naomba nisaidie kuniulizia na Mimi kati ya Pikipiki za Matairi matatu Toyo na Gari zile ndogo za Kirikuu ipi ni imara kwa matumizi ya Kijijini na Minadani.