Unbounced
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 345
- 434
"Bila kupoteza muda wakuu niende moja Kwa moja kwenye Mada.
Volvo ni gari nzuri zinajulikana na imara pia na zinakubalika.
BMW pia ni gari nzuri classic na zenye ubora pia na zinafanya vzuri huko sokoni .
Naomba mnieleweshe kati Ya hizi ndinga mbili ipi inazidi ubora nyingine japo zote ziko njema.
Naomba tuzingatie vigezo hivi
 aina Ya mafuta itumikayo (petroli au
diesel)
 ulaji wa Mafuta
 ustahimilivu wa mazingira magumu.
 stability katika mwendo