Volvo vs BMW suv

Volvo vs BMW suv

Unbounced

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
345
Reaction score
434
"Bila kupoteza muda wakuu niende moja Kwa moja kwenye Mada.

Volvo ni gari nzuri zinajulikana na imara pia na zinakubalika.

BMW pia ni gari nzuri classic na zenye ubora pia na zinafanya vzuri huko sokoni .
Screenshot_20180214-145948%7E2%7E2.jpg
Screenshot_20180214-145738%7E2.jpg

Naomba mnieleweshe kati Ya hizi ndinga mbili ipi inazidi ubora nyingine japo zote ziko njema.
Naomba tuzingatie vigezo hivi
 aina Ya mafuta itumikayo (petroli au
diesel)
 ulaji wa Mafuta
 ustahimilivu wa mazingira magumu.
 stability katika mwendo
 
broo kama pesa unayo chukua tu,

kama pesa yetu ya madafu njoo tujumuike na toyota premio old modal
 
Hiyo BMW X7 bado ni concept. Huwezi toa hitimisho kwa kitu ambacho hakipo mtaani.
 
Tu assume unataka SUV kati ya Volvo na ya BMW ila sio hiyo ulioweka picha ni X7 bado haijatoka.

Nashauri go for BMW kama pesa sio tatizo.

Kama unataka Gari kubwa nunua X5 kama unataka dogo dogo nunua X3.

X5 used utapata kuanzia Mil 30 hadi 50 kutokana na Model (mwaka iliotoka). Ingawa unaweza pata cheaper na expensive zaidi zipo. Me nimesema tu general.

X3 nayo hivo hivo.

Ila mzee kwa unachokitaka wewe hapo sijaona. Hizo gari zote nzuri. Kua specific kwenye Model ya gari na Mwaka unaotaka na CASH ulionayo.
 
Nashkuru Kwa mchanganuo wako mkuu
Ntaufanyia kazi
 
For world class safety go for XC90. Hivi unajua Volvo ndiyo waliokuja na teknolojia ya mikanda ya usalama hii iliyo kwenye magari? Volvo inajulikana kwa usalama wa abiria.
 
"Bila kupoteza muda wakuu niende moja Kwa moja kwenye Mada.

Volvo ni gari nzuri zinajulikana na imara pia na zinakubalika.

BMW pia ni gari nzuri classic na zenye ubora pia na zinafanya vzuri huko sokoni .View attachment 695555View attachment 695556

Naomba mnieleweshe kati Ya hizi ndinga mbili ipi inazidi ubora nyingine japo zote ziko njema.
Naomba tuzingatie vigezo hivi
 aina Ya mafuta itumikayo (petroli au
diesel)
 ulaji wa Mafuta
 ustahimilivu wa mazingira magumu.
 stability katika mwendo
Wasema volvo gari nzuri, volvo ipi? Bmw gari nzuri gari model ipi? Je walingabisha gari au kampuni? Cjakuelewa mkuu
 
Wakimaliza kukujibu Mkuu naomba nisaidie kuniulizia na Mimi kati ya Pikipiki za Matairi matatu Toyo na Gari zile ndogo za Kirikuu ipi ni imara kwa matumizi ya Kijijini na Minadani.
Kaue bacteria ukializa jibu lako litakuwa mezani mkuu
 
Wasema volvo gari nzuri, volvo ipi? Bmw gari nzuri gari model ipi? Je walingabisha gari au kampuni? Cjakuelewa mkuu
Mkuu mbabe wa syphilis mi nnachojua ni kwamba Brand za BMW na volvo ni za kuaminika ila sina deep details kujua models zake na gharama zake specifically ndo sababu nimeleta uzi huu kwenu mnichambulie Kwa kadri ya ufahamu wenu ili "nisijevamia gogo Kwa uelewa wangu mdogo"
 
Wakimaliza kukujibu Mkuu naomba nisaidie kuniulizia na Mimi kati ya Pikipiki za Matairi matatu Toyo na Gari zile ndogo za Kirikuu ipi ni imara kwa matumizi ya Kijijini na Minadani.
hahahaha kiriku iko vizur mijini, ila toyo kwa kijijini ni njema
 
Back
Top Bottom