VPL 18/01/2017 - Mtibwa 0 vs Simba 0

VPL 18/01/2017 - Mtibwa 0 vs Simba 0

Namna hiyo. Hawana timu hao kelele tu...


HAWA MAPINDUZI FC HUWA NI WABABAISHAJI MNO....TULIWAAMBIA KUWA HAWANA CHAO KUANZIA ZENJI MPAKA HUKU VPL...WAO WAKABISHA..

ONA SASA YANAANZA WABABAISHAJI WANAANZA KUONEKANA MAPEMA..
 
Mi simba ila mavugo hata mi ningemsajili
Kamati ya usajili imeonyesha kiwango cha juu cha kutojua wachezaji wazuri. Simba toka aondoke Tambwe haijawai kuona straika kila usajili inaleta "mavugo"
 
Mi simba ila mavugo hata mi ningemsajili
Kamati ya usajili imeonyesha kiwango cha juu cha kutojua wachezaji wazuri. Simba toka aondoke Tambwe haijawai kuona straika kila usajili inaleta "mavugo"
niliwaona wahuni pale mlipo muondoa Blagnon mkamuacha Mavugo....
 
Tumepoteza pointi mbili lakini binafsi nimeona sababu kadhaa, za ndani ya Simba na nje ya Simba.
Nje ya Simba moja ni uwanja kuwa mbovu hali iliyosababisha timu isicheze vizuri, pili Mtibwa kucheza muda mwingi mchezo wa kujihami na kutafuta droo.
Ndani ya Simba kuna mambo kadhaa. Kwanza wachezaji wanaonekana kuchoka, pili wanaonekana kukosa morali. Tatu kocha anaonekana kukosa ubunifu wa kutumia wachezaji mfano mtu kama Said Khamis Ndemla ni mzuri sana na mwenye uwezo wa kubadili matokeo kwenye mechi ngumu. Nne lakini zaidi safu ya ushambuliaji imekuwa butu sana. Bila ya kocha kuwa na mkakati mpana katika kuboresha fowadi Nina wasiwasi kama tutatwaa ubingwa.
 
Sisi tuna eneo la ardhi wewe una bwawa kwani unashiriki mashindano ya kuogelea mtani?
 
Mavugoaaal nasikia kapiga hat trick leo anawakimbilia akina Tambwe na Msuva kwa kushuka chini
 
Back
Top Bottom