Unaanza saa 16:00 EAT.Game inaanza saa ngapi iyo nikae jrn na tv,siku ya kuwachinja etoile nitakuja dar lazima
Azam anakipiga leo na mbeya city.Asante sana namanyele,saa tisa na nusu nitakua katika tv kuona tukiongeza gape la paint MAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Azam anacheza lini na mbeya city??
tuna mechi 3 mkononi dhidi ya mikia fc, tukishinda leo tunabakiwa na mechi 2 mkononi huku tumemwacha point 8Asante sana namanyele,saa tisa na nusu nitakua katika tv kuona tukiongeza gape la paint MAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Azam anacheza lini na mbeya city??
Kuweka rekodi sawa; Ni mechi mbili tu na sio tatu. Simba wamecheza mechi 21, Yanga wamecheza mechi 19 na Azam wamecheza mechi 18.tuna mechi 3 mkononi dhidi ya mikia fc, tukishinda leo tunabakiwa na mechi 2 mkononi huku tumemwacha point 8
Ni kweli mkuu mechi 2 na sio 3 nilikosea naomba mods wanisamehe wasine red card, ahsante mkuu Masuke kwa kunisahihishaKuweka rekodi sawa; Ni mechi mbili tu na sio tatu. Simba wamecheza mechi 21, Yanga wamecheza mechi 19 na Azam wamecheza mechi 18.
Ni kweli Mrisho Ngassa hatawepo leo uwanjan dhidi ya coast,....Kuna tetesi nimezipata kwamba uncle Ngassa hawezi kucheza leo mana anasumbuliwa na nyama ya paja na jana hakuweza kufanya mazoezi
Mikia wala sina hofu nae maana hana dira wasi wasi wangu ni hawa rambaramba mabingwa wa kuhonga