namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 610
Leo ndiyo leo mtoto hatumwi dukani.
Baada ya vijana wa jangwani kufanya mambo makubwa na mazuri kwenye Kombe la Shirikisho leo watakuwa Uwanja wa Taifa kukipiga na timu dhaifu kabisa Coast Union kutoka Tanga.
Tutashuhudia leo mtu anakula goli 5 bila. Kama una bet mpe Yanga ushindi and 3+. Bila kusahau pia kuna mechi nyingine chamazi kati ya Azam FC (lamba lamba) na wagonga nyundo wa jiji la Mbeya( Mbeya City FC).
Karibuni tupeane updates
===========================
Matokeo
Yanga 8 - Coastal Union 0