VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
610
Leo ndiyo leo mtoto hatumwi dukani.

Baada ya vijana wa jangwani kufanya mambo makubwa na mazuri kwenye Kombe la Shirikisho leo watakuwa Uwanja wa Taifa kukipiga na timu dhaifu kabisa Coast Union kutoka Tanga.

Tutashuhudia leo mtu anakula goli 5 bila. Kama una bet mpe Yanga ushindi and 3+. Bila kusahau pia kuna mechi nyingine chamazi kati ya Azam FC (lamba lamba) na wagonga nyundo wa jiji la Mbeya( Mbeya City FC).

Karibuni tupeane updates

===========================

Matokeo

Yanga 8 - Coastal Union 0
 
Game inaanza saa ngapi iyo nikae jrn na tv,siku ya kuwachinja etoile nitakuja dar lazima
 
Game inaanza saa ngapi iyo nikae jrn na tv,siku ya kuwachinja etoile nitakuja dar lazima
Game inaanza saa 10 mkuu kama kawa kama dawa vijana wa jangwani wenye spidi kali watakuwa wakimpelemba coastal union timu dhaifu mbele Yanga
 
Asante sana namanyele,saa tisa na nusu nitakua katika tv kuona tukiongeza gape la paint MAIMA MBELE NYUMA MWIKO

Azam anacheza lini na mbeya city??
 
Asante sana namanyele,saa tisa na nusu nitakua katika tv kuona tukiongeza gape la paint MAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Azam anacheza lini na mbeya city??
Azam anakipiga leo na mbeya city.
 
Asante sana namanyele,saa tisa na nusu nitakua katika tv kuona tukiongeza gape la paint MAIMA MBELE NYUMA MWIKO

Azam anacheza lini na mbeya city??
tuna mechi 3 mkononi dhidi ya mikia fc, tukishinda leo tunabakiwa na mechi 2 mkononi huku tumemwacha point 8
 
Kuna tetesi nimezipata kwamba uncle Ngassa hawezi kucheza leo mana anasumbuliwa na nyama ya paja na jana hakuweza kufanya mazoezi
 
Kuweka rekodi sawa; Ni mechi mbili tu na sio tatu. Simba wamecheza mechi 21, Yanga wamecheza mechi 19 na Azam wamecheza mechi 18.
Ni kweli mkuu mechi 2 na sio 3 nilikosea naomba mods wanisamehe wasine red card, ahsante mkuu Masuke kwa kunisahihisha
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Coast union;
1.Ally Mustapha "Barthez"
2.Juma Abdul Mnyamani
3.Oscar Fanuel Joshua
4.Nadir Haroub "Cannavaro"
5.Kelvin Yondan
6.Mbuyu Twite
7.Salum Telela
8.Haruna Niyonzima
9.Amiss Tambwe
10.Kpah Sherman
11.Simon Msuva.

SUB---
Deogratius Munishi "Dida"
Pato Ngonyani
Rajabu Zahir
Nizar Halfan
Hassan Dilunga.
Edward Charles

Kocha mkuu
Hans van der Pluijm

Kocha msaidizi
Charles Boniface Mkwasa

Daktari wa timu
Juma Sufiani

Meneja wa timu
Afidhi Saleh

Kila la kheir dar younga Africa.

YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Kuna tetesi nimezipata kwamba uncle Ngassa hawezi kucheza leo mana anasumbuliwa na nyama ya paja na jana hakuweza kufanya mazoezi
Ni kweli Mrisho Ngassa hatawepo leo uwanjan dhidi ya coast,....
 
mkolaj;

Tunashukuru mkuu kwa kutuwekea kikosi hapa
 
Last edited by a moderator:
nimemskia Julio jana akilia sana kua amekurupushwa na hakujua kama kuna mechi jumatano. Kama ni kweli basi TFF mnaharibu soka la TZ
 
Mikia wala sina hofu nae maana hana dira wasi wasi wangu ni hawa rambaramba mabingwa wa kuhonga

Umesahau kwamba Simba bado tuna mechi na Azam, "if you know what i mean" hatuna cha kupoteza
 
Back
Top Bottom