VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Naipenda sana Yanga ila sijui kama aleji yetu na waarabu kama imeshapata dawa.

Jamani Matola kumbe wewe mnazi wa Jangwani mwenzangu?
So happy to know that.
Hata hivyo usijali unakumbuka Al Ahly ilivyokua? Walitutoa kwa fitna tu ila wachezaji wetu nao walikua hawajiamini kama tunaweza kuwang'oa wale waarabu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani mlioko taifa waambieni yanga magoli yametosha, hatutaki mengine khaa!
 
Hivi Coastal Union si waliwezeshwa na Azam ili waifunge Yanga? Hela wamekula na kichapo juu. Naona kuna wajanja wanapiga hela za Bakhresa. Coastal Union waingie partnership na Platinum ya Zimbabwe.
 
Naipenda sana Yanga ila sijui kama aleji yetu na waarabu kama imeshapata dawa.

Kama tukiweza kutupia magoli 2 hapo Taifa na wao wasifunge basi tutakuwa tushawatoa...
 
Jamani Matola kumbe wewe mnazi wa Jangwani mwenzangu?
So happy to know that.
Hata hivyo usijali unakumbuka Al Ahly ilivyokua? Walitutoa kwa fitna tu ila wachezaji wetu nao walikua hawajiamini kama tunaweza kuwang'oa wale waarabu.

Mimi usipime kipindi cha nyuma nilikuwa najigharamia kuifuata Yanga popote inapocheza, ila kuna vitu vimenifanya nipunguze ushabiki, upenzi ukizidi unauwa.
 
Last edited by a moderator:
dah! leo najisikia raha sana hasa pale azam na mbeya city watatoka droo
 
Back
Top Bottom