VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

simba mtoto aka coastal kashachezea za kutosha hadi sasa...

Na leo zingekuwa hadi 8 mpaka sasa kuna nafasi kadhaa za wazi Yanga ilipoteza first half...

mkuu we umeweza kupata link kuangalia hii mechi??
 
Kama tukiweza kutupia magoli 2 hapo Taifa na wao wasifunge basi tutakuwa tushawatoa...

Simba nawaamini sana kwa mikakati kama wakiwapania Waarabu, wale kina Kaburu ni watu wa mipango sana ingawa na wao walizidiwa maarifa na Al Shandy Sudan.

Tatizo letu kubwa inaonekana mechi za ugenini bado ni tatizo, angalia hata timu tulizozitoa ugenini tulipoteza.

Nahitaji kuiona Yanga yenye ubora kama wa ilivyokuwa Enyimba unakwenda ugenini na unamkalisha mtu tatu bila huko huko kwao.
 
YANGA,africa yanga africa umoja wa mataifa , mabingwa wa africa mashariki nå kati - hayo ni maneno ya hayati pepe kale aliyekuwa shabiki nå mwanachama wa ukweli wa tumia pendwa ya wananchi YANGA
 
Huyu Tambwe anataka kuwa mfungaji bora tena
 
Yanga 5 coast ooooo dk 76
 

Attachments

  • 1428504396934.jpg
    1428504396934.jpg
    113.6 KB · Views: 365
mkuu we umeweza kupata link kuangalia hii mechi??

Wakati wa HT ya Azam na MCC...

Azam 2 walionesha highlights ya mechi na magoli ya Yanga hapo taifa....

Niliona namna Kpah na Tabwe walivyokosa kufunga...
 
Mimi usipime kipindi cha nyuma nilikuwa najigharamia kuifuata Yanga popote inapocheza, ila kuna vitu vimenifanya nipunguze ushabiki, upenzi ukizidi unauwa.

Na kweli umepunguza ushabiki maana tokea nikufahamu sikuwahi kujua kama wewe ni mwana Jangwani hasa kama ulivyonieleza.
Lakini mara moja moja kama hivi sio mbaya bwana.....
 
YANGA,africa yanga africa umoja wa mataifa , mabingwa wa africa mashariki nå kati - hayo ni maneno ya hayati pepe kale aliyekuwa shabiki nå mwanachama wa ukweli wa tumia pendwa ya wananchi YANGA

Acha kabisa.Huu wimbo hua naufungulia kwa sauti kubwa sana Yanga inaposhinda mechi muhimu.
Mungu amrehemu huyu jamaa sidhani kama tutakaa tupate wimbo mzuri kama huu.
 
Back
Top Bottom