VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Julio Pereira aanze kufungasha virago

Hahahaaa,nilikua nimesahau kama Julio ndio kachukua mikoba ya kocha aliyeondoka...
Leo sijui atasema nini mzaramo yule.
 
Pumbav.u !pumbav.u !pumvav.u coastal union!!!
Mmeuza mecho nyok.o sana nyie!nyau kabisa!wasengelema nyie!mbwa koko nyie!!!!paka shume!Fisi maji nyie!!!!
8:0 nyie mlikua mnafanya nn hapo uwanjani?
 
Mbona mikia wamepotea jukwaani ghafla hivyo? waiteni basi tuje tushangilie ushindi
 
Hivi rekodi ya ligi yetu inasemaje,kuna timu imewahi kupata ushindi mnono kama huu?
 
Back
Top Bottom